Hongera Prof. Joseph Buchweshaija

Hongera Prof. Joseph Buchweshaija

Ku
Hivi hizi pongezi ni genuine kweli au kuna hidden agenda behind.

Huu unafiki wenu mpaka lini? Kwa nini mnapenda penda sana kuingilia teuzi za Dk.Magufuli.
Kuna hidden Agenda, an intelligent guy can lead anywhere as he/she can quickly learn new things!
 
Nawapongeza Dr mubofu na prof buchwe kwa pamoja walinifundisha electrochemistry nakpata A, nawapenda wote ingawa one day niligombana na buchwe baada ya kumwambia muda muda Wa pindi umeisha alinimind lakini nikawa nambebea laptop take akanisamehe
Hongera kwa kupata A.
 
Binafsi naona hawa ma Prof na Dr wabakie kwenye kufundisha - kwenye management waachiwe watu wenye MBA. Kwenye menejimenti huitaji kujua sana kila kitu kuhusu shirika au idara unayoiongoza.
Sasa huko kwenye vyuo wanafundisha kina nani? Hi inaweza kuleta matatizo kwenye products za kutoka vyuoni miaka ijayo!
 
Huu ni uchizi.Chemistry na mambo ya Finance wapi na wapi?Kinachoonekana hapa ni JPM kulipa fadhila kwa watu waliombeba wakti wa Thesis yake ya PhD hapo mlimani.
Kwa akili ya JPM anafkiri kwa vile yeye ni Chemist ameukwaa Urais kwa mizengwe bac Chemist yeyote anaweza kuwa mtawala na si KIONGOZI! Kuna tofauti kubwa sana kati ya Kiongozi na Mtawala!
Kwa maana hiyo Magufuli is not a leader but just a mere Ruler and Dictator!
Jiangalie ndugu don't be derogatory, japo haipendezi mtu ambaye hajabobea kwenye fani za kibenki kupewa nafasi hiyo yawezekana Prof. kasomea mambo kadhaa yanayohusiana na kazi alopewa,ingefaa tuione CV yake full kabla ya kukosea watu heshima. Wapo waliosoma lakini wanababaisha hata wanapopewa kile walichosomea na kinyume chake pia.
Hongera Prof. bidii uthibitishe ubwege wa wanaokubeza.
 
Jiangalie ndugu don't be derogatory, japo haipendezi mtu ambaye hajabobea kwenye fani za kibenki kupewa nafasi hiyo yawezekana Prof. kasomea mambo kadhaa yanayohusiana na kazi alopewa,ingefaa tuione CV yake full kabla ya kukosea watu heshima. Wapo waliosoma lakini wanababaisha hata wanapopewa kile walichosomea na kinyume chake pia.
Hongera Prof. bidii uthibitishe ubwege wa wanaokubeza.
Hapana, Prof hana cha zaidi ya Chemistry! Namfahamu sana nilikuwa naye hapo chuoni. Ni mtu mwenye akili nyingi sana. He was getting A almost in every subject, lakini mambo ya benki hapana, please, usimpende kihivyo. ILA sema anaweza ku-adapt very quickly kwa akili nyingi alizonazo!
 
.....
Kwa maana hiyo Magufuli is not a leader but just a mere Ruler and Dictator!

Ndio maana namheshimu sana Pasco . Huyu ndugu alitabiri hapa bila kumung'unya maneno kuwa Magufuli ni dictator. Alisema mapema hata kabla Magu hajawekwa hadharani kama mgombea kuwa huyu Magu kwanza ana baraka zote za 'Wazee wa Kurasini'. Pili Magu kwa hulka yake tutegemee kilio na kusaga meno. Yanatimia moja baada ya mengine... Aisee Pasco ni noma!
 
Unaota ndoto za mchana.Hujui kuna ma CEO wa mabenki ambao ni engineers !!! Hujui ma CEO wengi wa Mabenki wa maana hupatikanaje.Subiri nikuambie.Benki ikitaka kujikita mfano kwenye KUTOA MIKOPO UJENZI WA mabarabara au kwenye makampuni ya ujenzi au miradi mikubwa ya ujenzi watamtafuta engineer kuwa CEO.ANAYEJUA HIYO SECTA vizuri.Siyo teller anayejua kufungua na kufunga akaunti ya mteja aliyesoma mambo ya banking!!

TIB ni benki inayohusiana na uwekezaji katika nini? Tanzania inaelekea kwenye viwanda.Huko kwenye viwanda wakemia ni moja ya watu muhimu wanaotakiwa.TIB inaelekea huko kwenye ukopeshaji wa viwanda usitarajie kwa mwelekeo huo kuwe kunahitajika mtu aliyesoma what is banking apewe leading role!!!
Wacha stori ndefu ya uongo wa kisiasa hapa,kwa kipindi tulicho nacho sasa nafasi kama hizi zinahitaji wachumi tena siwachumi mchwara ni wachumi haswa,pili licha ya uteuzi huu kukosa MTU sahihi kwa wakati sahihi pia kuna harufu ya kulipana fadhila kama walivyo hoji wengine huko juu
 
Back
Top Bottom