Hongera Prof. Joseph Buchweshaija

Hongera Prof. Joseph Buchweshaija

Hivi idara ya kemia pale mlimani ndo inatoa products za hovyo namna hii katika utawala? Bakini tu huko kwenye kunusa mahalufu ya kemikali, huku kwingine hamwezi!
Temea kushoto. Wewe unajuaje kama uko 100% perfect?
 
Prof wa Chemistry na TIB wapi na wapi. I can understand him being board member of TBC, TFDA, NIMR and the like. Nampongeza alikuwa nyuma yangu miaka 3! A very intelligent guy at that time, he always scored A in almost every subject, he was christened MSONGE ie A

Unaota ndoto za mchana.Hujui kuna ma CEO wa mabenki ambao ni engineers !!! Hujui ma CEO wengi wa Mabenki wa maana hupatikanaje.Subiri nikuambie.Benki ikitaka kujikita mfano kwenye KUTOA MIKOPO UJENZI WA mabarabara au kwenye makampuni ya ujenzi au miradi mikubwa ya ujenzi watamtafuta engineer kuwa CEO.ANAYEJUA HIYO SECTA vizuri.Siyo teller anayejua kufungua na kufunga akaunti ya mteja aliyesoma mambo ya banking!!

TIB ni benki inayohusiana na uwekezaji katika nini? Tanzania inaelekea kwenye viwanda.Huko kwenye viwanda wakemia ni moja ya watu muhimu wanaotakiwa.TIB inaelekea huko kwenye ukopeshaji wa viwanda usitarajie kwa mwelekeo huo kuwe kunahitajika mtu aliyesoma what is banking apewe leading role!!!
 
Profesa Buchwe napenda kukupongeza kwa dhati kabisa kwa kuteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya TIB.

Sina wasiwasi na weledi, utendaji wako na taaluma yako ndani ya nchi hii. Tanzania inajivunia kuwa na Profesa wa Chemistry ambaye amewahi kumsimamia (supervise) mwanafunzi wa PhD katika idara ya Kemia, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye leo ni Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Si kazi rahisi kushape mwanafunzi wa PhD hadi anapita viva vos katika kutetea thesis yake lakini iliwezekana.

Natambua kazi hii uliifanya kama timu wakati Mkuu wa Idara ya Kemia akiwa Dr. Mubofu ambaye leo ni Mkurugenzi Mkuu mpya wa TBS baada ya aliyekuwa katika nafasi hiyo (Joseph Masikitiko) kusimamishwa kazi pamoja Mkurugenzi wake wa Fedha. Masikitiko hakuwa hata na taaluma ya sayansi lakini alikuwa akisimamia shirika ambalo utendaji wake wa kila siku ulihitaji maarifa ya sayansi - maajabu ya nchi yetu, lakini bora alitumbuliwa.

Binafsi najivunia kuwa alumini wa Idara ya Kemia, UDSM, Idara ambayo imemfunza Rais wa nchi katika mchepuo wa Kemia kwa kiwango cha PhD.

Kazi njema Profesa.
Mbona kama nimesikia ni Professor Pala.. Kabudi ndiye kateuliwa?
 
Nimesema nachagua watu wa kuwajibu! Sio wewe &Co. Ltd! Idd Njema
 
Prof wa Chemistry na TIB wapi na wapi. I can understand him being board member of TBC, TFDA, NIMR and the like. Nampongeza alikuwa nyuma yangu miaka 3! A very intelligent guy at that time, he always scored A in almost every subject, he was christened MSONGE ie A
Sasa aachane kabisa na mambo ya chromatograph na fractional distillation ajifunze basics za mwenendo na mahusiano ya macroeconomic variables (exchange rate, inflation, employment, interest rate, GDP etc). Vinginevyo atakuwa msikilizaji tu kwa hiyo kazi.
 
Tangu lini Prof wa kemia akafanya kazi TIB kwa nini asimteue kwenye nafasi ambayo inaendana na taaluma yake? Tujifunze kutoka kwa wenzetu. Sisi tumebaki kulipa fadhila tu na sio kuangalia taaluma ya MTU na ufanisi wake.
Hizi ni miongoni mwa sababu zinazotufanya tutamke, tena kwa mbwembwe, kwamba tunafuata wataalamu Rwanda! Wataalamu wetu hapa hatuwatumii inavyopaswa!
 
Hivi hizi pongezi ni genuine kweli au kuna hidden agenda behind.

Huu unafiki wenu mpaka lini? Kwa nini mnapenda penda sana kuingilia teuzi za Dk.Magufuli.
Mkuu akisemwa vibaya ni shida akisifiwa ni shida pia, kama na nyie pia hamuamini semeni tu tena waeza ulizia yule alieprint thesis yake yupo wapi leo
 
Unaota ndoto za mchana.Hujui kuna ma CEO wa mabenki ambao ni engineers !!! Hujui ma CEO wengi wa Mabenki wa maana hupatikanaje.Subiri nikuambie.Benki ikitaka kujikita mfano kwenye KUTOA MIKOPO UJENZI WA mabarabara au kwenye makampuni ya ujenzi au miradi mikubwa ya ujenzi watamtafuta engineer kuwa CEO.ANAYEJUA HIYO SECTA vizuri.Siyo teller anayejua kufungua na kufunga akaunti ya mteja aliyesoma mambo ya banking!!

TIB ni benki inayohusiana na uwekezaji katika nini? Tanzania inaelekea kwenye viwanda.Huko kwenye viwanda wakemia ni moja ya watu muhimu wanaotakiwa.TIB inaelekea huko kwenye ukopeshaji wa viwanda usitarajie kwa mwelekeo huo kuwe kunahitajika mtu aliyesoma what is banking apewe leading role!!!
Kwenye taaluma tusiwe waigizaji. Haihitaji uwe na PhD au Uprofesa. Na nitammshangaa sana huyo Bwana kama anakubali kuaibika kwa kutumikia kitu asichokielewa. Huyo sio mtaalamu wa Benki na wala hana taaluma ya Uwekezaji wa Kibenki. Hivi ukimuuliza huyo Prof. wa Chemistry kuhusu Return on Investments, Financial Valuation Models, Investment Actuary, etc anazijua? Tusijifanye tunataka kumuingiza Zaza apige penalti kwa manjonjo wakati kwenye uchumi hakuna maigizo.
 
Sasa aachane kabisa na mambo ya chromatograph na fractional distillation ajifunze basics za mwenendo na mahusiano ya macroeconomic variables (exchange rate, inflation, employment, interest rate, GDP etc). Vinginevyo atakuwa msikilizaji tu kwa hiyo kazi.
Nimeandika kuwa TIB na Chemistry wapi na wapi, mtoto kutoka CCM akajibu kwa ushabiki wa CCM, and my principle is to ignore such people. Naamini atajifunza kwa sababu kama nilivyosema huyu Prof ana akili sana, and it is easy to grasp such concepts. Kama vinginevyo atakuwa msikilizaji lakini yule ninavyomjua hayuko hivyo, he will adapt!
 
Kwenye taaluma tusiwe waigizaji. Haihitaji uwe na PhD au Uprofesa. Na nitammshangaa sana huyo Bwana kama anakubali kuaibika kwa kutumikia kitu asichokielewa. Huyo sio mtaalamu wa Benki na wala hana taaluma ya Uwekezaji wa Kibenki. Hivi ukimuuliza huyo Prof. wa Chemistry kuhusu Return on Investments, Financial Valuation Models, Investment Actuary, etc anazijua? Tusijifanye tunataka kumuingiza Zaza apige penalti kwa manjonjo wakati kwenye uchumi hakuna maigizo.
Ukijibizana na akina YEHIDAYA unapoteza muda. These are technical things. Prof wa Chemistry hawezi toa mchango wa maana katika mambo ya bank investments! (Return on Investments, Financial Valuation Models, Investment Actuary,etc mimi naona nyota nyota hapo....) kama ulivyozitaja and many many more. Labda atajifunza maana he is very bright, very bright indeed!
 
Hivi ukimuuliza huyo Prof. wa Chemistry kuhusu Return on Investments, Financial Valuation Models, Investment Actuary, etc anazijua? .

Sielewi wewe ulisoma lini.Masomo ya investment yanafundishwa fani zote.Ukisoma engineering UTAFUNDISHWA mambo ya investments kwenye area yako.Waliobobea kwenye Financial engineering ni mainjinia na waliosoma degree za sayansi.

Ukisoma medicine au kemia unafundishwa unavyoweza kufanya investments na kuandika miradi eg za kufungua hospitali au project za hospitali kufungua kiwanda cha madawa nk.Hivi mameneja miradi ya maabara,mahospitali,nk unafikiri huwa wanasimamia hiyo miradi bila kuvijua hivyo vitu vya kitoto kama Return on Investments, Financial Valuation Models, Investment Actuary? UNAOTA NDOTO za mchana

Mtu wa Level ya professor keshasimamia project kibao za mamilioni ya pesa na somo la project appriasal alilisoma mwaka wa kwanza ,AKASOMA tena kwenye masters, kwenye PHD huko ndio usiguse.
 
Profesa Buchwe napenda kukupongeza kwa dhati kabisa kwa kuteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya TIB.

Sina wasiwasi na weledi, utendaji wako na taaluma yako ndani ya nchi hii. Tanzania inajivunia kuwa na Profesa wa Chemistry ambaye amewahi kumsimamia (supervise) mwanafunzi wa PhD katika idara ya Kemia, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye leo ni Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Si kazi rahisi kushape mwanafunzi wa PhD hadi anapita viva vos katika kutetea thesis yake lakini iliwezekana.

Natambua kazi hii uliifanya kama timu wakati Mkuu wa Idara ya Kemia akiwa Dr. Mubofu ambaye leo ni Mkurugenzi Mkuu mpya wa TBS baada ya aliyekuwa katika nafasi hiyo (Joseph Masikitiko) kusimamishwa kazi pamoja Mkurugenzi wake wa Fedha. Masikitiko hakuwa hata na taaluma ya sayansi lakini alikuwa akisimamia shirika ambalo utendaji wake wa kila siku ulihitaji maarifa ya sayansi - maajabu ya nchi yetu, lakini bora alitumbuliwa.

Binafsi najivunia kuwa alumini wa Idara ya Kemia, UDSM, Idara ambayo imemfunza Rais wa nchi katika mchepuo wa Kemia kwa kiwango cha PhD.

Kazi njema Profesa.
Thesis yake iko wapi tuione!
 
Back
Top Bottom