Sina interest yoyote Mkuu. Naongea kutoka hisia zangu. Mtwara si kwetu ingawa niliishi mkoa huo zaidi ya miaka 30 iliyopita. Nimefurahishwa tu kuwa kwangu mimi redio hii ya Mtwara imezipita zote zile ambazo ninasikiliza.Declare ur interest kwanza
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
sina interest yoyote mkuu. Naongea kutoka hisia zangu. Mtwara si kwetu ingawa niliishi mkoa huo zaidi ya miaka 30 iliyopita. Nimefurahishwa tu kuwa kwangu mimi redio hii ya mtwara imezipita zote zile ambazo ninasikiliza.
HII redio ni mfano mzuri sana,kumbe ni radio ya mtwara!big upSina interest yoyote Mkuu. Naongea kutoka hisia zangu. Mtwara si kwetu ingawa niliishi mkoa huo zaidi ya miaka 30 iliyopita. Nimefurahishwa tu kuwa kwangu mimi redio hii ya Mtwara imezipita zote zile ambazo ninasikiliza.
Bonyeza hapa Pride FM - 87.8 FM Mtwara - Listen OnlineInapatikana pande zote za dunia ambapo kuna mtandao wa internet. Kama ulisoma vizuri post yangu ni kuwa naisikiliza kupitia internet. Natumaini ukiwa na internet utaipata.
PrideFM..na Dk MTuli...mtatuzi wa kero za wanachi wa Mtwara, Moto ushwaka....iko pouwa sana ni 87.8FM inapatikana
haifanani na radio IMANI?
Nimekuwa nikisikiliza Pride FM ya Mtwara kupitia internet, kusema kweli nimefurahishwa na ubora wa vipindi vyao pamoja na umahiri wa watangazaji wao. Nawapa sana hongera na nawaomba wazidi kudumisha ubora huo na wawe mfano wa kuigwa.
mi cjaelewa iko poa kwa vp au wanaponda serikali?