Hongera Paradise Daycare toka Morogoro

Jun 3, 2014
63
68
Kwanza kabisa, nipende kumshukuru sana Mungu kwa pumzi hii alituma, Maana hatuilipii ila Tunaipata kwa Neema tu yake, Hakika anashahiri kupewa heshima na utukufu.

Lakini kipekee nipende kuishukuru na kuongeza shule ya Awali ya Paradise Daycare, Jana kwa mara ya kwanza wamefanya mahafari ya shule hiyo, Shule hiyo ambayo Inamilikiwa na Mdada anayejulikana kwa Evelyne, Mungu ambariki sana, lakini pia na walimu wa shule hiyo, kwani katika watu wa kuwaheshimu sana ni walimu wa awali kazi wanayoifanya ni kubwa sana, Maana wanawafanya watoto wetu waishi katika maadili mazuri, Nawapenda sana walimu wote wa awali wakiwemo wa paradise.

20201213_144416.jpg
IMG_20201214_115717_598.jpg
 
Lipia tangazo mkuu!

Jokes aside. Mkuu ongezea na taarifa za ziada kama location, fees and charges na mawasiliano yao.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom