kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,916
- 7,164
Habarini Great Thinker,
Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza Bi. Joyce Ndalichako kwa kurudisha DIVISION GRADE, DIVISION 0 kwa hili naona kama ameweka goli kwenye standard sio wale wahuni wa awamu iliyopita walioamua kutanua goli. Hapa sasa natoa rai ajipange kutatua changamoto nyingi zilizopo kwenye sector ya elimu. Hili lilikua jipu. Well done for bring back our division and Division 0.