Askarimaji
JF-Expert Member
- Jan 28, 2016
- 276
- 692
Hongera sana mwanamke kwa sifa ya uvumilivu,
Ni sifa ya kipekee sana, mnavumilia vitu vingi sana kwetu sisi wanaume,
Unakuta jitu ni livutaji la sigara, akitoa hii anaweka nyingine, ratiba yake ya kupiga mswaki ni asubuhi tu bas, kutwa nzima ameshavuta sigara zake kama kumi na....anakuja kwa mkewe domo linanuka hatari, anapewa mapenzi motomoto, mke anamshika mumewe na kumpiga denda murua kabisaaa....DAAAH hongera mwanamke.
Unakuta jitu usiku likilala linakoroma kama jenereta, lakini mke anapata usingizi safi tu yan, ndo ameshakuwa mumewe, uyo ndio anaelala nae kila siku ya mungu, inapita mpaka miaka kumi ...inafika miaka 20 na zaidi kwa wengine, DAAAAH ....hongera mwanamke.
Note: Kila mwanamke unaemjua katika ndoa yake lipo jambo analolivumilia, ipo tabia ya hovyo anayoivumilia kutoka kwa mumewe, sasa wewe unaejiandaa kuingia katika ndoa hiv karibuni jiandae kuwa mstahimilivu, pia jitahid kuficha aibu ya mumeo,usitegemee kupata mwanaume mwenye sifa kama za malaika.
Uvumilivu ndio sifa yenu....hongera mwanamke.