Hongera Mwakyembe, ...Ila...!

Hongera Mwakyembe, ...Ila...!

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
6,324
Reaction score
2,242
Nikupongeze sana kwa kuwapa masaa 24 walioleta mafuta yasiyo na viwango waondoke.

Nilianza kuhisi harufu ya mafuta kurudishwa pale niliposikia kwamba Tani 20,000 kati ya 100,000 ziko OK na zinaweza pakuliwa mda wowote week hii.

Cha muhimu sasa simamia kauli yako,mafuta hayo yataua magari mengi sana kama yakipakuliwa,ni mda sasa kusimamia ubora na tusipokee vitu feki tena.

Hongera kwa kuonesha ujasiri, umewakemea, sasa waondoke kweli na mafuta yao.
 
mwakyembe anajaribu, na kwakweli akisimamia anachosema ataweza.
 
Hilo litakuwa fundisho kwa wengine wote waliozoea kuleta mafuta chini ya viwango.
 
Dkt wa ukweli waoneshe kuwa una shule ya kutosha na unafanya mambo kwa manufaa ya taifa. Ulishakufa nini cha kukutisha sasa.... Mambulula na wezi mujiandae sasa....
 
Ukisikia US Obama kateua waziri kutoka Republican ni kama hawa. Kwa Mwakyembe, CDM wamfikirie hata 2015 ikiingia Ikulu.

Jamaa haangalii mtu usoni.

Big-up mwakawembe

 
kwa kwel wana jf mwakyembe amekuwa jasili sana mpaka raha na wafanyakazi wa wizara yake wanasema hakika huu ni moto kwa sababu kila mtu anafanya kazi na lufika ofisini kwa wakati na ukiona sasa bandari jinsi alivyo inyosha mpaka raha tuko pamoja saidia taifa lako muda ndiyo huu na malipo ya kodi zetu zilizo kupeleka india kutibiwa faida yake ndiyo hii kwa kwel tuko pamoja juu ya hili na kwa utendaji wako wa kazi.
 
Usicheze na simba aliyejeruliwa alimanusra ingekuwa kazaliwa tar......kf tar.....
 
:A S angry:AFUMUE KILA UOZO

Kwel kaka kwa sababu jana nimemuona anasema tuta mshughulikia bila uoga mtu huyu aliyesababisha upotevu wa pesa hizi yan mpaka raha sijui kikwete avunje baraza la mawaziri amteu huyu jamaa kuwa waziri mkuu namuona ni noma sana
 
Hivi wakikutana na yule mamvi wanasalimiana vizuri?

Ha ha ha mimi na hisi kwenye ugonjwa wa mwakyembe kuna mkono wa yule fisadi mwenye rangi ya pekee kichwani kwake yan jamaa saizi ana hasira na watendaji wabovu wabovu na wezi wa mali ya umma
 
Mwakyembe anatisha, kama atachukua form na magufuli naye akachukua nahisi kama patachimbika, japo mimi nahisi Mwakyembe kwa sasa yuko juu zaidi.
 
Kwel kaka kwa sababu jana nimemuona anasema tuta mshughulikia bila uoga mtu huyu aliyesababisha upotevu wa pesa hizi yan mpaka raha sijui kikwete avunje baraza la mawaziri amteu huyu jamaa kuwa waziri mkuu namuona ni noma sana

umenikumbusha kitu, hivi Pinda yupo nchi hii.?
 
Namuamini sana MWAKYEMBE nafikiri ataweza kulisimamia hili...........

mwakyembe is gud,but ni mtu wa kurupuka mno,na ataingizwa mkenge asipokuwa makini,heshima yake itashuka kwa kurupuka,alikurupuka aliposema amewakamata wale walioruhusu watu wapitishe mizigo akisema ilikuwa issue ya TPA, kumbe ilikuwa chini ya TRA,wale polisi alioapa kuwa wamekamatwa kuhusiana NA WIZI WA MAFUTA MPAKA LEO KIMYA,
 
Back
Top Bottom