Hongera mtani

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,640
697,940
Waswahel wanasema kulia kwa zamu... Lakini sisi SIMBA tunasema wema kwa jirani ni bora kuliko furaha yako.. Mtendee jirani yako wema ili naye ajihisi mtu
Sisi kama SIMBA tumefanya kila tuwezalo ili kumpa mtani furaha.. Lakini kashindwa kabisa kuvunja rekodi ya 6-0

Kipofu kaona mwezi leo mtaani hapatoshi.. Hongera mtani.. Japo ni furaha ya muda maana kilio cha kusaga meno chaja
Screenshots_2023-11-05-19-12-49.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waswahel wanasema kulia kwa zamu... Lakini sisi SIMBA tunasema wema kwa jirani ni bora kuliko furaha yako.. Mtendee jirani yako wema ili naye ajihisi mtu
Sisi kama SIMBA tumefanya kila tuwezalo ili kumpa mtani furaha.. Lakini kashindwa kabisa kuvunja rekodi ya 6-0

Kipofu kaona mwezi leo mtaani hapatoshi.. Hongera mtani.. Japo ni furaha ya muda maana kilio cha kusaga meno chajaView attachment 2805158

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiki chakula umenikumbusha mbali sana yamekosekana maziwa mtindi hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom