Hongera moderators kwa kazi ndefu

Hongera moderators kwa kazi ndefu

yaani niliamini ni jinsi gani i have been affected by hii kitu. ilikuwa chance nzuri kwa wife kupata full attention from me.

Kumbe kufa kufaana, jf down wife wako anafurah
 
mi sikupata wa kumuuliza zaidi sana nkajua simu yangu ina wenge,kutumia pc nlivokuta yaleyale basi ikabd niwe mpole...ila nliwamiss sana wana JF

Kwakuwa mie niliuliza basi ungeniuliza mimi
 
Sikua nimeingia kama siku mbili hivi....ile nalog in ikafunguka sasa kwani kufungua notifications naweza?
Nkapata wenge....i like jf
Mwanyasi hujambo?
 
Last edited by a moderator:
Sikua nimeingia kama siku mbili hivi....ile nalog in ikafunguka sasa kwani kufungua notifications naweza?
Nkapata wenge....i like jf
Mwanyasi hujambo?

Sijambo wangu, siku ile tumekusubiri wala hatujakuona
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu nilimpa za uso kule siasa nikawa nasikilizia zali lake kwa mods......Sasa ile kufungua nikakutana na ule ujumbe nikajua kwishaaaaa!!!! nimeshapigwa ban...

Mimi kuna mtu aliniambia nikambishia, kumbe kweli? isije ikatokea tena aisee
 
Mwanyasi nipe no. yako siku nyingine jf ikiroga niwe nakupigia cm kupitia kifurushi cha usiku pack tubonge we usiku kucha. maana hali ilikuwa mbaya bana sitaki initokee tena.

:what::what::what::what:
 
Last edited by a moderator:
yaani kwangu ilikuwa ngumu kabisa
nilipoteza network ya kumbukumbu ya
watu mjengoni hapa na jinsi nilivyo basi


JF is back, wenzangu tufahamishane nini kilikuwepo wakati jf iko down.
binafsi hali ilikua ngumu, kuna moderator nilimpigia akaniuliza wewe unanikumbuka wakati wa matatizo tu, Bujibuji Baba V na IGWE niliwakuta pale uyole. welcome back jf.
 
Back
Top Bottom