HONGERA Mnadhimu TUNDU LISSU

kweli lisu me nimekusikiliza kuanzia mwanzo hadi mwisho. we ni kiboko kwelikweli. naamini ukisimama hao viongozi wenu wanaanza kuhangaiika. wanaanza kujipanga jinsi ya kuwakanilize. ccm walevi wa madaraka
 
Hata mie nimemfuatilia kupitia "Tuntufye FM - 62.8" jamaa ni nomaaaaa!
 
Lissu akiwasilisa kitu ni zaidi ya kusoma, ingependeza kama ungemsikia live! jamaa kwanza anayo sauti ya kuiwasilisha mada, na kuvuta hadhara... nenda utube uone live1! Bravo kaka lissu

.
Huyuba yake ya leo inao uwezo wa kutoa challenge ktk kufundisha vyuo vikuu!
.
 
Hakika TUNDU LISSU weledi,umakini,ujasiri,Msimamo na uchapa kazi wake ni hazina kwa CHADEMA.Nashauri CHADEMA sasa LISSU aanze kufikiriwa kwa ajili ya kupeperusha bendera ya CHADEMA kwani UWEZO,UZOEFU na UPEO wake ni mkubwa sana.Pia UMRI wake na UTANASHATI ni tiketi ya kupata KURA uchaguzi ujao.HOTUBA yake bungeni leo hakika Watanzania tumezidi kumkubali anajua kujenga hoja vizuri.Mungu mbariki TUNDU LISSU MZALENDO wa Tz.

Ukiisha ona mwanaume, unamsifia mwanaume mwenzako jua kuna walakini kwa msifiaji
 
Back
Top Bottom