hahahaahahah unaongelea shule zetu za kubeba kidumu cha maji na ufagie sio!! hahahahaMwanaume wa dar amewakilisha vyema kabisaa hapo,teh
Nenda kaoe mtoto aliyezoeshwa mambo hayo ya dadiii,mamiii,juniaaaa,princess wkt wewe umetokea zile shule zetu za kukong'otwa na fagio za chelewa mpk unapiga nduru utajuta ndugu teh teh.
PwaniHuyo siyo mwanaume wa Dar, ni wa chalinze
KIla mzazi anampenda mwanae ila wanapishana katika kuonesha upendo kwa watoto waoHivi kuna mwanaume ambae hampendi mwanae kweli?
Safi sanaNi nzuri lakini sio mbaya malezi kama hayo kwa watoto wako hata mkeo,
Izo ni showoff za social media that's allKIla mzazi anampenda mwanae ila wanapishana katika kuonesha upendo kwa watoto wao
Usisahau na ukoka mkuu.hahahaahahah unaongelea shule zetu za kubeba kidumu cha maji na ufagie sio!! hahahaha
mmmh! labdaIzo ni showoff za social media that's all
Na kuagizwa kila mwanafunzi aje na fimbo mbili za mti wa MPERA hahahahhahUsisahau na ukoka mkuu.
Hahah aisee ni balaaNa kuagizwa kila mwanafunzi aje na fimbo mbili za mti wa MPERA hahahahhah
ni wa mkoani huyuHuyo siyo mwanaume wa Dar, ni wa chalinze
Ila Pwani si jirani na Darni wa mkoani huyu