Hongera mheshimiwa Ridhiwani kwa kumpenda mwanao

NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,972
35,104
rizi1.jpg

Babu Asprin umeona eeeee.
 
Mwanaume wa dar amewakilisha vyema kabisaa hapo,teh

Nenda kaoe mtoto aliyezoeshwa mambo hayo ya dadiii,mamiii,juniaaaa,princess wkt wewe umetokea zile shule zetu za kukong'otwa na fagio za chelewa mpk unapiga nduru utajuta ndugu teh teh.
hahahaahahah unaongelea shule zetu za kubeba kidumu cha maji na ufagie sio!! hahahaha
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom