mambo ya kutoa fadhila hayo
ukiwa mtengeneza keki afu wanafamilia wakakosa hiyo keki tutakuita zwazwa.
Kweli kabisa mpk raha mke na mtoto wako bungeni
unamjua aliyekuwa mbunge wa East AfricaKwa hiyo Mzee Kambarage ni Zwazwa?
hahhhaha mzee alifosi king hadi nazo zimo?Plus Nyumba ndogo kadhaa nazo zimo humo humo Mjengoni
hahhhaha mzee alifosi king hadi nazo zimo?
Mbona ni vitu vya kawaida sana huku kwetu ughaibuni
ni vitu vya kawaida sana hivyo katika ulimwengu wa kiroho kwa viongozi wote dunianiHuku Tandale kwa Mkunduge hatujazoea