Hongera Maulid Kitenge

hahaahah kwa kuwa kazi zao wanafanya kwa siri basi tumejenga picha ni watu wenye akili za hali ya juu, kumbe ukiwaleta hadharani ni ma bashite sana. amini mkuu ndo hao vilaza
Namshangaa wapo wengi vilaza sana wapo huko waliingizwa kimazabe
 
Hizo chuki zako binafsi,hazituusu
 
Tutakuja kujua nini thamani ya amani tuliyo nayo ... Mabavu ya watu wachache yataharibu mema yote yalio jengwa miaka 50 iliopita..
 
huyo jamaa amenikera sana unaweza ukanunua kesi ukiwa karibu unamtishia Mtu bunduki Bongo ili iweje sasa..
 
Harmorap nasikia mpak mda hajulikani aliko daa hahahaa yaan nikikumbuka mpak nacheka hvi ingefyatuliwa risasi pale Harmorapa angejikuta yupo mtwara bila kujua kafikaje
 
Kitenge ni Muhuni wa Alharamain Secondary School , usikute alishapasha cha Shaurimoyo kabla ya kwenda kwny press conference halafu Ana hasira sana na Mke Mwenzie Janet aliefoji vyeti na majina
Mke mwenzie janet?! Haaa, yamekuwa hayo! Haya buana. Lakini mbona mke mkubwa hana ki-front front?
 
Kwahiyo Majizo akuamini wewe kuliko kitenge?
 
Nampa Hongera Kitenge kama aliweza kumwondoa yule mchumia tumbo na kabastola kake.
 
Alimwambia nanukuu UNAHAARIBU UNAHARIBU BHANA,alafu jamaa kaishiwa nguv kbx,nazan alikua anamkumbusha maadil ya kaz
 
mwandishi katetea(kitenge), msanii kala kona(hamorapa)
Mmmakonde yule kazoea mishale sio chuma....ana mbio, inasemekana hata ingefyatuliwa risasi isingempata kwa mwendo aliochomoka nao.
 
unaweza kukabiliana namwenye silaha bila silaha..na waweza kumpokonya hata silaha yake na ukammaliza nayo vilevile...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…