Hongera Maulid Kitenge

Afanyiwe kazi kashindwa hata na tena kwa mana akitowa kisu hakirudi.nimeshangaa kuona jamaa kakatoa kabastola then karudisha au kamuogopa
 
Reactions: SDG
Ninachojiuliza ni kwamba huyu "Afisa Usalama" anatumia mikono yake kumsukuma Nape na kujibanza kwa watu ilhali silaha iko kwa kiuno, hahofii kuwa wanaweza kuichomoa na kumfanyizia !!
 
Reactions: SDG
Hongera sanaaa maulid kitenge
. Jamaa anaonekana ni shujaa kwa zari la mentali
 
Alafu huyo jamaa ukicheki vizuri mfuko wa nyuma kushoto kaweka pingu
 
Reactions: SDG
Jana wengine ndiyo tumejua kazi maalum ya Kitenge huko E-fm ni bosheni tu but hongera sana kumtuliza Agent mwenzio uko vizuri kaka
 
Hongera Kitenge ktk hilo lakini ulikuwa umejiweka ktk hatari kusukumana na MTU mwenye silaha tena aliyeitoa na kuirudisha na hajulikani ni nani!!

Lolote lingeweza kutokea pale hasa pale alipotoa bastola na kurudi nyuma nilishtuka kidogo nini anataka kufanya then akairudisha kiunoni na ndipo Maulidi alipofika na kuanza kumsukuma.

Ktk hali kama zile lazima uwe makini sana maana hujui dhumuni la mtoa silaha.Na kama Kitenge angepata dhahama ya risasi hizi sifa anazopata zisingekuwepo kabisa angeanza kulaumiwa tu.

Nani kamtuma,amejitakia,amejipendekeza na mengine mengi tu tungesema.

Ushauri wangu.Usicheze na MTU aliyetoa silaha kwako labda kama una MM
 
Mashujaa ua hawatishiwi kifo, tunataka kitambulisho unatoa bastola? na akukosea aliyesema ni heri siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa.
 
Kwanza Hongera Maulidi wa Kitenge,Kama sikosei ukifuatilia clips anamuambia jamaa yule Usalama kwamba"Oyaa Unaharibu,unaharibu"

Ni kuonesha kwamba Maulidi Kitenge anajua kabisa kwamba ni Jinai kuonyesha Silaha katika hatua ile ya Nape.

Ukipita Scout kuna mambo mengi saana unajifunza,nashauri waandishi muwe angalua mnaenda JKT kupata mafunzo ya miezi kadhaa ili kujifunza ujarisi na haki zako kwenye matukio kama hayo.
Maana hata ueledi wa Alietoa silaha ni mdogo saaana,maana NAPE aliuliza hembu nionyeshe Kitambulisho,sasa akituko kikawa,jamaa badala ya Kuonyesha Kitambulisho yeye akatoa Silaha.Duhhhh mhhhhhhhhhh
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…