tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,422
Baada ya mashambulizi ya Western Gate, tuliona ukaguzi wa watu na magari ulianzishwa pale Mlimani City shopping mall; ajabu baada ya mwezi wakaacha. Sijui waliwasiliana na Al Shabab wakawaeleza tumeahirisha kuja!!! Hivyo basi, ninahofu hata hilo zoezi la hapo kivukoni si endelevu, Tanzania tunapenda sana kufanya mambo kwa matukio kukiandamana na kupiga pesa ndefu, mfuko tu ukikauka na zoezi linakwisha!!!
Na tukumbuke ht hiyo Westgate walikua walinzi wanakagua kutokea nje..na alshabab walianza mashambulizi Kuanzia getini wanapokagua kuelekea ndani
Ht hapa kwetu wanaweza kufanya hivyo..na huwa hawi alshabab mmoja akifyatua tu risasi mlinzi chinI itazua taharuki watafanya yao
Ht hao walinzi wa mcity na maeneo mengine.wanakukagua huku silaha hawana shambulizi litokee mpk aifate silaha na kuikoki saa ngapi
Cha msingi ni kuomba Mungu tu alshabab hawashindwi kwa lolote