nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Kufuatia sakata la kigaidi lililotokea Kenya apa kivukoni kuna upekuzi. Hii itatuweka salama sana ukizingatia kivuko kinabeba watu wengi alishababu wakiingia huko watatumaliza. Ningeomba uongozi utafute angalau wanajeshi 10 kwa kila kivuko tuwe tunavuka nao kwa usalama zaidi.