Hongera Mama umekuwa kichekesho na kituko Duniani

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,895
Hongera Mama umekuwa kichekesho na kituko Duniani kura fake 98% na video za wezi wa kura. Kusema chaguzi zilikuwa za haki Mama amekuwa ni kituko na kichekesho.

Juzi nilikuwa Texas wanauliza kama nimetokea Tanzania au Kenya nikasema Tanzania kila mtu akacheka!

Wanasema walikuwa wanaona video za Idd Amini hawakufikiria atakuja kutokea Idd Amini mwanamke
 
Hongera Mama umekuwa kichekesho na kituko Duniani kura fake 98% na video za wezi wa kura. Kusema chaguzi zilikuwa za haki Mama amekuwa ni kituko na kichekesho. Juzi nilikuwa Texas wanauliza kama nimetokea Tanzania au Kenya nikasema Tanzania kila mtu akacheka!! wanasema walikuwa wanaona video za Idd Amini hawakufikiria atakuja kutokea Idd Amini mwanamke
Image ya nchi nje imechafuka
 
She doesnt care. She has made her peace and chosen the devil
You are right.

Kinachoendelea kwa Samia ni kama yule jamaa aliyeanza ushoga kwa kujistukia mdogo mdogo akazoea. Alipozoea akawa amekatika mishipa ya aibu,anavaa hadi top na khanga Huku anabinua makalio mtaani akitembea.

Ushoga ukikomaa Mishipa ya aibu hutoweka. Wanafanya mambo "liwalo na liwe,mtajua wenyewe".

Ndiyo Samia sasa.

Alianza kutoa makucha polepole,tukapiga kelele,ila sasa ameshazoea hii hali ya kuua na kunywa damu za watu.

Hajali Tena hizo kelele zenu hata mumtishe vipi.

She is in devil mode now,she can not go back to normal(default mode).
 
Hongera Mama umekuwa kichekesho na kituko Duniani kura fake 98% na video za wezi wa kura. Kusema chaguzi zilikuwa za haki Mama amekuwa ni kituko na kichekesho. Juzi nilikuwa Texas wanauliza kama nimetokea Tanzania au Kenya nikasema Tanzania kila mtu akacheka!! wanasema walikuwa wanaona video za Idd Amini hawakufikiria atakuja kutokea Idd Amini mwanamke
 
Attachments

  • e46d56b2c26146b97f09dc5d1e308c85.mp4
    860.9 KB
  • 6ca194063178c0ee498d20b8e26dedee.mp4
    366.4 KB
1762333543093.jpg
 
You are right.

Kinachoendelea kwa Samia ni kama yule jamaa aliyeanza ushoga kwa kujistukia mdogo mdogo akazoea. Alipozoea akawa amekatika mishipa ya aibu,anavaa hadi top na khanga Huku anabinua makalio mtaani akitembea.

Ushoga ukikomaa Mishipa ya aibu hutoweka. Wanafanya mambo "liwalo na liwe,mtajua wenyewe".

Ndiyo Samia sasa.

Alianza kutoa makucha polepole,tukapiga kelele,ila sasa ameshazoea hii hali ya kuua na kunywa damu za watu.

Hajali Tena hizo kelele zenu hata mumtishe vipi.

She is in devil mode now,she can not go back to normal(default mode).
FB_IMG_1760422784966.jpg
Amekuwa mraibu wa kunywa damu za Watanganyika
 
Back
Top Bottom