Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,548
na Yupo mmoja ndo alinitoaga bikra mungu amrehemu popote alipo
Kama upo Moshi kuna hotel wanahitaji wafagizi... Bado siamini kama life imekupiga kias hichoNatafuta kazi za ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na Yupo mmoja ndo alinitoaga bikra mungu amrehemu popote alipo
This statement is scaring.Kuna mabeki wengine wakali balaa sana. Wasafi, wanajua kunukia vizuri nd a bit fair skinned. Uki m pimp + ukampa a bit of exposure ni anakua bonge moja la dem, and some can be very fast learners.
Ww ukitaka kuamini kachukue ma binti wa mikoa ya Kilimanjaro, Tanga or Arusha. Achana na hii mikoa mingine ya ajabu ajabu alaf uwe unamtoa vi tips. Utaja niambia. [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wakuu mmenichekesha kwa sautiSasa kutaja Masaki ndo unafikiri atapaparika...?
Watu bwana,sifa tuu
Nilitaka kukushushia bonge la tusi...anyway siyo hulka yangu.
Natafuta kazi za ndani
Hahahaha ki vp ??This statement is scaring.
Hahaha mkuu mimi hiyo issue nimeona kwetu (home kwa wazee wangu), kwangu na ndugu na jamaa wa karibu.Ongea yako inatambulisha uzoefu wako tasavali funguka zaidi mkuu
anashindana na mother house kuzungusha msambwanda.Hahaha mkuu mimi hiyo issue nimeona kwetu (home kwa wazee wangu), kwangu na ndugu na jamaa wa karibu.
Mara nyingi mabinti wa hyo mikoa most of them wana ile hulka ya kupenda kubadilika (upgrade) hata ki maendeleo huwa wanapenda kufika mbali in life sema kwa ni vile huko makwao unakuta hawakupata fursa....sasa ukisham treat vizuri na kumjali kama a fellow family member wao wanajiongeza humo humo (unless ukute ni boss mtata/hayuko caring).
Sasa ukute huyo mtoto ni fair skinned then life ya hapo mjengoni ikamkubali shape ikajaa jaa....Aaah weweee. [emoji23][emoji23]
Na hicho kiuno chako utapata kazi haraka.Natafuta kazi za ndani
Hapo ndo unaposikia mather house anapomsingizia uongoanashindana na mother house kuzungusha msambwanda.