Hongera Lowassa kwa kuiadabisha CCM

Hongera Lowassa kwa kuiadabisha CCM

Tunacho ongelea hapa ni adhabu ya lowasa kwa wana ccm,
CCM ni taasisi yenye umri wa miaka 39, na ndio iliyomlea Lowassa kisiasa mpaka akafikia hapa alipo. CCM haiwezi hata siku moja kupewa adhabu na mtu ambaye imemuandaa mpaka akaweza kuaminiwa na Chadema. Kama Lowassa wamepita wengi sana ndani ya CCM, lakini chama bado kina nguvu na kinaendelea kusimamia ilani yake kwa faida ya watanzania wote ukiwemo na wewe Mmawia
 
Namaanisha kuwa na wewe kama mwana ccm bado mnaendelea kukosa usingizi juu ya lowasa
 
Chadema ilikuwepo kabla ya Lowassa kuhama CCM, na tena ilikuwa ni chama imara, pendwa na chenye nguvu na ushawishi wa kutosha, hasa katika miji mikubwa ya Tanzania.

Hata Ukawa iliasisiswa kabla ya Lowassa kukatwa na kuhamia CDM. Kwa misingi hii hamna mtu anayeweza kuja na takwimu halisia eti bila Lowassa mambo yangekuwaje UKAWA?? Kama yupo azilete.

Hoja yangu ni hii;
Lowassa mpaka sasa amegeuza kila aina ya mafanikio ya UKAWA kuwa yake binafsi na kujinasibu kuwa yeye ndo ameyaleta. Amekuwa akijinasibu kwa kauli za kujisifia binafsi kana kwamba Chadema na Ukawa havikuepo na yeye ndo alikuja kiuasisi Chadema na muungano wa Ukawa.

Kauli za Lowassa zinakiweka chama mikononi mwake, na si mikononi mwa wanachama waliosumbuka kukijenga chama hiki kwa machozi, jasho, damu, vifo, njaa, na kudhalilishwa na Nguvu za Dola.

Mfano wa kauli za Lowassa;

1. "Nimewawezesha wapinzani kufikisha wabunge zaidi ya 100, tukiweka na viti maalum"
2. "Nimewasaidia kushikilia jiji la Dar es salaam"
3. "Nitagombea 2020, najiandaa na uchaguzi mkuu "
4. "Nimeufanya upinzani kuwa na nguvu kuliko wakati wowote"

Na nyingine nyingi zenye utata!

Swali ni je, kwanini hizi "nime" zisiwe "chama kime"? Halafu toka lini Lowassa amefuta taratibu za kumpata mgombea urais ndani ya chama na kujihakikishia nafasi ya kugombea uchaguzi mkuu 2020??

Lowassa apewe onyo, na afunzwe kuwa siasa ni collective and intergrated efforts na sio One man show or else mtwambie kama amekabidhiwa chama mikononi mwake, na lini ilifanyika hivyo.
Mkuu ni moja kati ya vijana wa Lumumba wanaofanya utumwa alioutumikia January Makamba Kwa miezi takiriba sita lakini akaishia kusahau Zanzibar.
Kilichotea anajua yeye!!!
 
Wala isikupe shida waendelee kuwaajiri wajinga wenye njaa buku 7 kumchafua mitandaoni ila wanatukuta sie kuto imara tunawafurumua. Yaan watajamba mchanga lowasa ni no nyingine hakuna mdudu anayeweza mtishia kweli lowasa uko smart watu hawalali wanatoka makamasi jasho la damu kisa wewe???
Luckyline hongera sana kwa kuwa mpambanaji na mtetezi wa kiongozi wetu mpendwa Edward Ngoyai Lowasa kiboko ya ccm,pamoja sana
 
Namaanisha kuwa na wewe kama mwana ccm bado mnaendelea kukosa usingizi juu ya lowasa
Hakuna anayekosa usingizi juu ya huyo mzee, shughuli yake ilishamalizwa wakati wa uchaguzi, anazo ndoto za kuwa rais, lakini kwa uwezo mkubwa wa hapa kazi tu labda asubiri mpaka 2025, na wakati huo atakuwa na miaka 72, tuombe Mungu awe na nguvu za mwili na za akili, awe na nguvu za kufanya kampeni. Ikiwa kampeni za mwaka huu zimempa wakati mgumu kiafya, miaka 10 ijayo sidhani kama ataweza kuwa na uimara wa kuongoza nchi. Kila mtu kaumbwa na ile hamu ya kutaka kufikia hatua fulani maishani mwake, lakini sio kila mtu anaweza kufanikisha lengo analojiwekea.
 
Pongezi za kipekee mh Edward Ngoyai Lowasa,rais kipenzi wa mioyo ya mamilioni ya watanzania kwa kuendelea kukaa kimya hata pale unapo dhihakiwa na viongozi hata wana chama wa ccm na mawakala wao,uamuzi wako umekuwa ni adhabu tosha kwa maadui zako ambao sasa wameamua kuajiri vijana kwenye mitandao mbali mbali ili kukukebehi na madharau mbali mbali,adhabu hii kwa ccm ni hatari kuliko kuwachapa bakora.
NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO VINGINEVYO YANGEKUWA YANAKWIBA KAMA YALIVYOZOEA KUSEMA UKWELI MACCM MENGI YANAPUMULIA HEWA YA UKAA, SAHIZI YANA HALI MBAYA SANA MAANA MAJIPU YOTE YANATOKA CCM ......YAMEKOMAA KUSEMA LOWASA FISADI BLABLABLA MBONA HAJATUMBULIWA SASA HILO JIPU
 
CCM ni taasisi yenye umri wa miaka 39, na ndio iliyomlea Lowassa kisiasa mpaka akafikia hapa alipo. CCM haiwezi hata siku moja kupewa adhabu na mtu ambaye imemuandaa mpaka akaweza kuaminiwa na Chadema. Kama Lowassa wamepita wengi sana ndani ya CCM, lakini chama bado kina nguvu na kinaendelea kusimamia ilani yake kwa faida ya watanzania wote ukiwemo na wewe Mmawia
Hata cdm ni taasisi kubwa inayojiendesha kama ilivyo ccm
 
Hakuna anayekosa usingizi juu ya huyo mzee, shughuli yake ilishamalizwa wakati wa uchaguzi, anazo ndoto za kuwa rais, lakini kwa uwezo mkubwa wa hapa kazi tu labda asubiri mpaka 2025, na wakati huo atakuwa na miaka 72, tuombe Mungu awe na nguvu za mwili na za akili, awe na nguvu za kufanya kampeni. Ikiwa kampeni za mwaka huu zimempa wakati mgumu kiafya, miaka 10 ijayo sidhani kama ataweza kuwa na uimara wa kuongoza nchi. Kila mtu kaumbwa na ile hamu ya kutaka kufikia hatua fulani maishani mwake, lakini sio kila mtu anaweza kufanikisha lengo analojiwekea.
Mlianza na nyimbo hizo oo lowasa hawezi kufanya kampein oooh mara haturuhusu helkopita kutumika kwenye kampein ooh mara afya ya lowasa itamuumbua,lkn matokeo yake alichowafanyia mnakijua hadi sasa
 
NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO VINGINEVYO YANGEKUWA YANAKWIBA KAMA YALIVYOZOEA KUSEMA UKWELI MACCM MENGI YANAPUMULIA HEWA YA UKAA SAHIZI YANA HALI MBAYA YANA MAANA MAJIPU YOTE YANATOKA CCM YAMEKOMAA KUSEMA LOWASA FISADI BLABLABLA MBONA HAJATUMBULIWA SASA HILO JIPU
Mkuu huo ndio ukweli na maccm yanaumbuka kila kukicha maana hayo majipu ni kutoka ndani ya ccm
 
Hata cdm ni taasisi kubwa inayojiendesha kama ilivyo ccm
Cdm ni taasisi kubwa ambayo Dr. Slaa aliifananisha na mtu anayetoa uchafu chooni halafu akauhamishia chumbani. Matokeo yake chumba kimegeuka kuwa choo!. Mzee wa monduli alitumia vizuri uwezo wake wa kuwa karibu na vyombo vya habari, alihakikisha magazeti mengi yanakuwa upande wa Cdm, ndio maana mmeweza kupata wabunge wengi, ni uwezo wake wa kampeni uliochangia kuwapatia UKAWA wabunge wengi na sio uwezo wake wa kujenga hoja na kuzisimamia, mzee wa monduli sio mwanasiasa mzuri bali anao uwezo wa kutengeneza mitandao ya watu wanaojua kufanya kazi.
 
Mlianza na nyimbo hizo oo lowasa hawezi kufanya kampein oooh mara haturuhusu helkopita kutumika kwenye kampein ooh mara afya ya lowasa itamuumbua,lkn matokeo yake alichowafanyia mnakijua hadi sasa
Kama nilivyokuambia kwa mzee wa monduli kazi imekwisha tayari, siku alipokatwa ndani ya CCM ulikuwa ndio mwisho wake kisiasa.
 
Cdm ni taasisi kubwa ambayo Dr. Slaa aliifananisha na mtu anayetoa uchafu chooni halafu akauhamishia chumbani. Matokeo yake chumba kimegeuka kuwa choo!. Mzee wa monduli alitumia vizuri uwezo wake wa kuwa karibu na vyombo vya habari, alihakikisha magazeti mengi yanakuwa upande wa Cdm, ndio maana mmeweza kupata wabunge wengi, ni uwezo wake wa kampeni uliochangia kuwapatia UKAWA wabunge wengi na sio uwezo wake wa kujenga hoja na kuzisimamia, mzee wa monduli sio mwanasiasa mzuri bali anao uwezo wa kutengeneza mitandao ya watu wanaojua kufanya kazi.
Kwahiyo wewe shida yako nini?mtaji wa kisiasa ni watu na chama kuwa na wingi wa viti bungeni
 
Kama nilivyokuambia kwa mzee wa monduli kazi imekwisha tayari, siku alipokatwa ndani ya CCM ulikuwa ndio mwisho wake kisiasa.
Angekuwa amekwisha ndio mgekuwa mna kesha mitandaoni mnamua ndama kwa kubweka kama mbwa koko?
 
Lowasa ni jembe...sisi wana UKAWA tunajua

Bila Lowasa UKAWA ilikuwa inaenda kuvunjika...sisi ndio tunaojua zaidi kuliko nyie mafwaaala wa CCM
 
Attachments

  • IMG-20151015-WA0011.jpg
    IMG-20151015-WA0011.jpg
    63.3 KB · Views: 23
Back
Top Bottom