Hongera Lowassa kwa kuiadabisha CCM

Hongera Lowassa kwa kuiadabisha CCM

Kweli mzee Lowassa ni mvumilivu, sidhani kama viongozi wa ccm wanaweza
 
TATIZO LAKE KULAZIMISHA MAMBO NA KUJIONA YEYE PEKEE NDIYE ANAFAA KUWA RAIS. ATAUSIKIA KWENYE BOMBA TU HUO URAIS
 
Njoo upate ghahawa achana na hiyo kazi unayoing'ang'a mwisho itakuletea madhara maana unaifanya muda mrefu ukiwa umeinama,sasa inaweza kukuletea aibu kama aliyoipata yule swahiba yetu
Jibu swali wacha kuruka ruka utaparamiwa saa ngapi?
 
Njoo upate ghahawa achana na hiyo kazi unayoing'ang'a mwisho itakuletea madhara maana unaifanya muda mrefu ukiwa umeinama,sasa inaweza kukuletea aibu kama aliyoipata yule swahiba yetu
Sina muda na kukaa na wapara miwa vya juice
 
Mumba Daly kwani EL Akikibeba chama peke yake wewe unawashwa nini???
Tena jenga hoja wacha matusi wengine hatupendi matusi sio ustaarabu!!
 
Pongezi za kipekee mh Edward Ngoyai Lowasa,rais kipenzi wa mioyo ya mamilioni ya watanzania kwa kuendelea kukaa kimya hata pale unapo dhihakiwa na viongozi hata wana chama wa ccm na mawakala wao,uamuzi wako umekuwa ni adhabu tosha kwa maadui zako ambao sasa wameamua kuajiri vijana kwenye mitandao mbali mbali ili kukukebehi na madharau mbali mbali,adhabu hii kwa ccm ni hatari kuliko kuwachapa bakora.

Minafikiri tunajisahaulisha mapema ila kilamtu ktk tz alijuwa cdm ni tishio kwa sisiem pale ilipopiga viti vingi vya serikali za mitaa na na huu jamaa tulikuwa tunamwita fisadi chama kilikuwa kinatisha sasa sielewi mtoa pongezi anauelewa mchezo au.
 
Hivi kati ya cdm na ccm nani kapoteza kwenye uchaguzi uliopita?kama uliingia angalau std one utakuja hapa na jibu
 
Wala isikupe shida waendelee kuwaajiri wajinga wenye njaa buku 7 kumchafua mitandaoni ila wanatukuta sie kuto imara tunawafurumua. Yaan watajamba mchanga lowasa ni no nyingine hakuna mdudu anayeweza mtishia kweli lowasa uko smart watu hawalali wanatoka makamasi jasho la damu kisa wewe???
 
Mti wenye matunda haukosi kupigwa mawe. Na ukimuona nyani mzee ujue kakwepa mishale mingi. Ninamsihi lowassa akaze buti kwa mipango na mbinu zake mpya asisikilize kelele za ccm na mawakala wao walioajiriwa kumtukana na kumkashifu.
ccm wanatakiwa kujikita zaidi kutekeleza ahadi walizowaadi wananchi, sio kuleta siasa maji taka na za kibagizi.
 
S
Mkuu Mmawia hakika una moyo wewe! Hata baada ya kipigo chote mlichopata unaona Lowasa anaiadabisha ccm?
Saaaana tu mkuu, tena bora angeteta nao kwa hili na lile ila kukaa kwake kimya ni zaidi ya adhabu.
 
Yan kwa 100% bora niwe mwana Kenya au Mwana uganda kuliko kuwa mwana ccm, wana coments za kinyarugusu sana. SJUI wanalindwa na kanuni za JF????????????????
 
Mshapiga hela zake mnaendelea tena kumpamba pamba atoe zingine
 
S
Huyo mwenzio ndio baradhuli asiye na adabu kabisa
hika adabu wewe, mwenzangu wammjia wewe, AU MNAKOSA MICHANGO YA KUELIMISHA JAMII MNABAMKI KUTUPIANA MITUSI TUU HUMU JF!!! KUWENI WAELEWA NA WAZALENDO BANA,
 
CCM wanaodaiwa kuadabishwa bado ni majority ndani ya bunge, wanao wapiga kura wengi ambao wanaweza kupitisha vifungu vingi vya sheria kadri ya matakwa yao. Na ikiwa JPM na serikali yake watapiga kazi kwa nguvu, sio ajabu hata baadhi ya majimbo yaliyochukuliwa na upinzani mwaka huu, wakakombolewa mwaka 2020. CCM wameshika mpini, na baadhi ya wabunge wenye maneno machafu huwakejeli wapinzani kwa kuwaambia kuwa wao ni watu wasio na majukumu kwa sababu ya uchache wao. UKAWA wameipata Dar wapige kazi ila wasijidanganye kwa kufikiri kuwa ndio wameshamaliza kazi. Wao ni minority bungeni.
 
Ccm wanafurahia wakipoteza,wanasahau bandu......bandu.....
Unaonaeeeeee?kila uchaguzi mkuu ukifika lazima upinzani unaongeza viti kwenye himaya yake na hivyo viti vinatoka kwenye hesabu ya ccm,alafu leo utayasikia kuwa upinzani umekufa
 
CCM wanaodaiwa kuadabishwa bado ni majority ndani ya bunge, wanao wapiga kura wengi ambao wanaweza kupitisha vifungu vingi vya sheria kadri ya matakwa yao. Na ikiwa JPM na serikali yake watapiga kazi kwa nguvu, sio ajabu hata baadhi ya majimbo yaliyochukuliwa na upinzani mwaka huu, wakakombolewa mwaka 2020. CCM wameshika mpini, na baadhi ya wabunge wenye maneno machafu huwakejeli wapinzani kwa kuwaambia kuwa wao ni watu wasio na majukumu kwa sababu ya uchache wao. UKAWA wameipata Dar wapige kazi ila wasijidanganye kwa kufikiri kuwa ndio wameshamaliza kazi. Wao ni minority bungeni.
Tunacho ongelea hapa ni adhabu ya lowasa kwa wana ccm,
 
Back
Top Bottom