democratic
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 1,642
- 295
hatutaki hongera zako,mahakama imesema ntulipe gharama za kesi..... viazi wakubwa nyieNachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha.
Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.
Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!
Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha.

Hadi Nape katoa pongezi! Basi tusibiri pongezi kutoka kwa kiongozi wa MP7! Au bado wana kikao Lunch Time?
Nakala: Mungi, Mwita Maranya, Matola, Ngongo, Crashwise, Matola, Molemo, Tumaini Makene, Rejao, Ben Saanane, Yericko Nyerere, etc.
mkuu kama ni ukanda,ukabila na hata udini, ccm ndo kwenyewe. Ulizia vizuri utaambiwa!Safi kaka unaonesha ni namna gani ulivyo mwanasiasa mahiri na msema kweli na ukomavu katika siasa.Ni kweli hawa jamaa haki ni pale wanaposhinda wao lakini wakishindwa ni kelele.Hawa ni kama watoto ni wakuvumiliwa tu.Hata kuwa na kadi mbili babu wao wanao sawa,ila angekuwa anazo zitto ungewasikia wakimtaka ajiondoe chamani.Ni chama ch kikanda,ukabila na udini
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha.
Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.
Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!
Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!
Nitakuwa mtu wa kwanza kupinga ushetani huo. Hatuna resources za kutapanya kijinga. Vinginevyo unapendekeza chama kianze kufadhiliwa na kina Rostam.jamani na sisi tupandikize mamluki wa kutosha kule ccm tutumie njia hiyo kuwavuruga na kuwatawala kiurahisi pepleziiiiii
we ni janga la taifa!!! tunajuta kuwa na mtu kama wewe hapa tz!! mihela yetu mmeficha uswisi....MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU LAANI MAFISADI...tunajuta kuwa na Chama Cha Magamba hapa tz!!! ptuuuuuuuuu!!!!Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha.