Lady Jaydee kufungua mgahawa mpya

Lady Jaydee kufungua mgahawa mpya

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,471
Mwanamuziki mwenye swaga za aina yake kutoka kwenye kiwanda cha bongo flavor , Lady jaydee , ametangaza rasmi Ujio wa mgahawa wake mpya( BBQ n chill) ambao ataufungua masaki around May this year.

Ikumbukwe lady jaydee alishawah kumiliki mgahawa matata sana (Nyumbani lounge) ambao ulifanya vizur kwa miaka kadhaa na baadae akaamua kuufunga. Hongera sana dada mkuu, hiko kitakuwa kijiwe chetu kipya cha kudangia, masaki tena ,,warumi mie nijiandae[emoji23][emoji23]

IMG_1621.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom