Hongera kwamtoro

Hongera zako and all the best katika maisha mapya unayoenda kuyaanza kwamtoro
 
Last edited by a moderator:
Asante Msandawe Halisi na Asanteni wana MMU wenzangu kwa pongezi na maneno mazuri. Kwa sasa nipo saloon kujiweka powa tayari kwa kwenda kanisani mchana. Ndoa nitafunga alasiri pale Azania front, tuombeane.
 
Hongera my kaka kwamtoro, ndoa yako na idumu,karibu sana kwenye ulimwengu wa maraha,ndoa ni tamu
 
Last edited by a moderator:
Asante Msandawe Halisi na Asanteni wana MMU wenzangu kwa pongezi na maneno mazuri. Kwa sasa nipo saloon kujiweka powa tayari kwa kwenda kanisani mchana. Ndoa nitafunga alasiri pale Azania front, tuombeane.

Haya bwana harusi kila la kheri !!!
 
Attachments

  • 1404556958801.jpg
    9.1 KB · Views: 60
Last edited by a moderator:
Hongera sana kwamtoro.Uwe na Ndoa njema wewe na mkeo ndo wakuifanya ndoa iwe paradiso au jehanam.usimsahau Mungu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…