Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Mwanachama mwenzetu, rafiki yangu wa jukwaa pedwa la MMU ambaye anamchango mkubwa kwenye jukwaa hili ndugu kwamtoro leo anaachana rasmi na kambi ya ukapera na kuanza maisha mapya ya kuitwa mume. Naomba kwa yeyote mwenye neno la kumshauri, kumpongeza afanye hivyo katika hali ya kuonyesha upendo baina yetu. Binafsi namtakia maisha mema ya ndoa yake.
Atakujibu mwenyewe akipitia uzi huu.hongera zake....hebu muulize kama alikutana na wife hapa jf
Akaribie kwenye chuo pekee ambako unapewa cheti uingiapo tu na si wakati wa kuhitimu!
Ndoa ni ku sacrifice mambo yako kadhaa ili mwenzako apate nafasi. Vinginevyo hakitaeleweka!
Ndoa na ireshimiwe na watu wote!