Hongera kwa jeshi la Polisi

Hongera kwa jeshi la Polisi

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,883
Reaction score
2,786
Kwakweli napenda kuwapa hongera kwa jeshi la polisi ninavyoweza kutuliza ghasia hapa nchini. Kumekuwa na tabia za watu kufanya vitu vinavyopindisha amani ya nchi. Hivyo polisi endeleeni na kazi nzuri mnayofanya.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Watakuja na kwako shauri yako au hata ndugu yako

"Nchi ngumu hii"
 
Umewapongeza mapema mno,subiri utakapo bambikiwa kesi wewe au jamaa yako ndio uwapongeze,subiri siku wewe au jamaa yako wa karibu unajipitia njiani halafu wanakudungua live!ndio uwasifu
Uzoefu mdogo tulionao ni kwamba polisi wa bongo hawako kikazi bali kimaslahi zaidi,wanajipenda zaidi na ni waoga sana,hawako tayari kukabiliana na mshukiwa au washukiwa kama walivyofundishwa kule CCP mafunzoni.
 
sawa bana tumekusikia. Lakini kwa kuwa nawe ni binadamu kiumbe cha Mwenyenzi Mungu wala hatukulaumu. Tunakushukuru kwa ushauri wako huo na wakati nasisi tunaendelea na harakati za kutoa elimu ili yamkini ufunguke kutoka katika minyororo ya utumwa wa fikra.
 
Pongezi zisizo na mifano wala vielelezo kuhusu pongezi za nini, ni utata ambao lazima ufafanue kwanini na kwa mambogani?
 
Bro unawapongeza kwa lipi au unafanya reference Morogoro jana? tupe hint mkuu
 
Kwakweli napenda kuwapa hongera kwa jeshi la polisi ninavyoweza kutuliza ghasia hapa nchini. Kumekuwa na tabia za watu kufanya vitu vinavyopindisha amani ya nchi. Hivyo polisi endeleeni na kazi nzuri mnayofanya.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Akili za kuku tena kuku mwenyewe mdogo
 
Na wewe siku yakikutokea usije kulalama hapa, polisi sasaivi wamekua km wamechanganyikiwa, kwani yanaweza kutokea maandamano kidogo tu jirani na nyumbani kwako wakaja ffu na kuaza kurusha risasi za moto hovyo, risasi zingine zikakupata wewe au wanao maana risasi hazina macho wala hazichagui shauri yako...
 
Wewe unaepongeza upuuzi hui ni mdini halafu mshamba sana, ntakutafuta nikubambikie kesi ya uhujumu uchumi tu halafu tone jinsi polisi tulivyo wapumbavu
 
Hongera Polisi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Bilashaka hata wewe ni polisi.. Hawajafikia lengo hadi kupongezwa.. Nguvu nyingi bila sababu..
 
Mimi nitoe pongezi zangu kwa majambazi nchini,yamefanya kazi kubwa ya kuwadhibiti polisi hadi polisi wameamua kujiunga nao kwenye shughuli za ujambazi,hongereni sana.
 
Mbona majambazi kila kukichwa wanazidi na hawawafanyii kitu sababu ya kupewa chemji ndogo au wao kuwa mabosi wa wezi etc

Kama wamekufurahisha bora uedit kabisa hiyo post ya kwanza utaje ni na nini kimekufanya uwaongelee hivi.
 
Ipo siku tu nawewe utakufa...kama sio ajali..ni risasi..kma sio risasi ya poalisi..ni kansa au ukimwi...kama sio...ni muto...ila utakufa tu na wewe...au unabisha...?
 
Hongera Polisi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
..............................Ipo siku tu nawewe utakufa...kama sio ajali..ni risasi..kma sio risasi ya poalisi..ni kansa au ukimwi...kama sio...ni muto...ila utakufa tu na wewe...au unabisha...? soma signature yako ukweli usemwe sio
 
Kwakweli napenda kuwapa hongera kwa jeshi la polisi ninavyoweza kutuliza ghasia hapa nchini. Kumekuwa na tabia za watu kufanya vitu vinavyopindisha amani ya nchi. Hivyo polisi endeleeni na kazi nzuri mnayofanya.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Unawashwa nini......
 
Back
Top Bottom