Hongera kwa haruna masebu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera kwa haruna masebu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by cream.b, Dec 22, 2010.

 1. cream.b

  cream.b Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Apr 17, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  THE Director General for the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA), Mr Haruna Masebu has been voted as the best Chief Executive Officer (Boss of the Year) with an excellent performance for the year 2010.

  Mr Masebu was voted the best from among 18 CEOs from various organizations across Tanzania, during a workshop held in Dar es Salaam recently for Office Secretaries that was organized by Techtop Consult (Tanzania) Limited in Dar es Salaam.

  What do you guys say about this?any views
   
 2. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  They are not serious these secretaries .... VIGEZO gani walitumia?
  Huyu jamaa tangu ameingia Ewura;
  1. Uchakachuaji wa mafuta umevuta kasi ya ajabu
  2. Bei ya pertoli imepanda kutoka shs 500/ per ltr to Tshs 2.000/= per ltr within a period of three years !

  Ame perfom nini "excellentlly" ??
   
 3. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu, huu ni ufisadi mtupu katika sura ya ma"consultants". hao waliomchagua wangejua fedha zinavyotafunwa pale ewura? masikini ya Mungu, sijui wanajipendekeza ile wawe wanapata vikazi (viconsultancies) kutoka pale? ooh, no labda walimchagua baada ya kuwagawia hikazi, so walilewa na vijisenti vya ewura! langini wangesubiri basi anagalau tuzoee nyongeza hii ya karibuni ya bei ya umeme inayoanza januari!

  shame on all of them
   
 4. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hizo kura ni za kuchakachua bei ya mafuta haiko realistic pamoja na hizo bei zake elekezi (wizi mtupu), Bei ya gas inapanda hovyo kama nchi hii haina control
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  nadhani classmates wake wana jibu sahihi - EL & Rashid
   
 6. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  DUH JF inakuwa uwanja wa majungu sasa. Bei imepanda tokea 500 mpaka 2000 kwa kipindi kipi? Unajua miaka miwili na ushee bei ya pipa la petrol lilifikia dola 147 na ni bei ilikuwa haijawahi kufikiwa? Hapo Masebu anapandishaje hiyo bei? Unajua thamani yetu ya pesa inamaana katika bei ya mafuta? Hali ya pesa yetu ikoje? Unajua ni wakati huu ndio sheria imetungwa angalau ya kuzuia uchakuaji na aghalabu watu wanapigwa faini? Kunaweza kuwa na mapungufu ila hayo yako hayawezi kuwa subtantiated.
   
 7. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkuu unapoteza muda wako. So long huyu Haruna si katika wao basi watamponda tu. Siunawajua hawa watu? Bei ya mafuta inapangwa na soko la dunia na si Tanzania tunaopanga, au sisi tunavisima vya mafuta? Hebu watu wa kilimanjaro au mbeya tujulisheni kama vipo huko.
   
 8. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2010
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kati ya CEOs wote ingawa sijui ni kigezo gani walitumia ila naona Mkurugenzi Mwendeshaji wa NDC, Bw G. Nasari anagestahili tuzo hilo. Tangu amaeingia kwenye Shirika hilo amaefanya mambo makubwa hata kulisafisha Shirika lilikuwa katika hali mabaya kifedha na kuziba mianya ya ulaji. Aliachiwa Shirika likiwa na hali mbaya ila sasa hali imeanza kubadilika kuelekea panapostahili.
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kama vigezo ni kusaini makaratasi, kuwahi kazini, audit reports na mambo kama hayo sawa... Lakini kama vigezo ni impact ya EWURA kwa wananchi then anastahili F+

  Unampaje zawadi mtu aliyekalia maombi ya TANESCO kuongeza bei from May hadi baada ya uchaguzi? one request takes seven months, and then such a slow mo' is give an award

  my foot
   
 10. b

  bob giza JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pumbafu wooote kuanzia masebure, hao walomvote na wahusika wao na wake zao woote pumbafu..au lah ni vichaaa.. tanzania tuna vichaa lukuki kila kona, mawaziri, wakurugenzi, ukichaa ukichaa kila mahali..
   
 11. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145

  Mkuu hapo umenena, EWURA ilifanya makusudi kuchelewesha mchakato wa kuhakiki uhalali wa TANESCO kuongeza bei ya umeme ili kuikoa CCM isipoteze kura katika uchaguzi uliopita. Hayo yalikuwa ni maagizo maalumu toka kwa Katibu Mkuu Kiongozi kwenda kwa wizara na taasisi za serikali kwamba issue yoyote yenye negative impact kwa CCM na serikali yake isiwe handled mpaka uchaguzi utakapoisha.

  Binafsi sioni kwamba Masebu anastahili hii award. Hakuna impact yoyote aliyoleta kwa wananchi ndo maana hata Waziri akatoa amri ya EWURA kusitisha mkataba wao na Majembe Auction Mart (kati ya madudu machache ya EWURA)........labda pengine waliomteua wana vigezo vingine tusivyovijua!!

  Au pengine yeye ndo ana unafuu kuliko ma CEO wengine?????

  Hafu wakuu nini uhalali wa EWURA kuwakata wateja wa TANESCO 1% ya bill wanayolipa? Je hii haina mgongano wa kimaslahi? Kwani kuongezeka kwa gharama ya umeme kuna maana kwamba hata fee wanayo collect EWURA inaongezeka!!
   
 12. k

  kachumbari Senior Member

  #12
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  That is a JOKE,juzi tuu kwenye TV alikuwa anajikanyaga kuhusu kutowaadhibu Madereva wachakachuaji,unakubali kuongeza bei ya Umeme bila kuwakagua na kujua uwezo wa hao wasambazaji haya angalia umeme haupo na bei inapanda huoni huyu jamaa ni KALULU!,leo mnampa BESt CEO basi waliomchagua wana personal intrest nae.HUYU CEO alitakiwa afukuzwe kazi mara moja! ndio hao wakistaafu wa kwanza kuanza kulalama kuhusu Authority walizo kuwa wao mabosi
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  it is unfortunate kwamba we have politicised everything in this country hata zile professional benchmarks zimemezwa na siasa

  Its a shame kutoa zawadi kwasababu jamaa kawafurahisha akina fulani, to me the best thing to do would be not to give anyone that honor and challenge CEOs to do better next year
   
 14. O

  Ogah JF-Expert Member

  #14
  Jan 2, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Jamaa ni KICHWA SANA..........isipokuwa kilichomponza ni LOWASSA....................Lowassa kamchakachua tangu amtoe then Ardhi Institute...........sasa anachokifanya ni madudu tu.........
   
Loading...