Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,838
- 38,729
Ajitahidi kula kabisaMi bado sijakupata vizuri mkuu!! jitahidi kupangilia jambo kwanza kabla ya kulileta hapa
Oya acha basi Kututukania Baba zetu Wazazi na Wajomba waliopo hapo MNF sawa?Wanavaa makoti utadhani wazee wa Mwl.Nyerere Foundation.
QTWachezaji wa Yanga washamba hawajui kuvaa kwenye hafla kubwa kama ile.
Wanavaaje makoti ya uridhi ya babu zao!
πππOya acha basi Kututukania Baba zetu Wazazi na Wajomba waliopo hapo MNF sawa?
Ulitaka awe nchimbiEti nasikia mchezaji bora ni John Bocco!Nchi ina maajabu hii!!! Bora hata nilivyo amua kulala mapema.
Uridhi ndio nini wewe mkia fc?Wachezaji wa Yanga washamba hawajui kuvaa kwenye hafla kubwa kama ile.
Wanavaaje makoti ya uridhi ya babu zao!