Hongera KBC: Wasanii Tanzania bure kabisa

Hongera KBC: Wasanii Tanzania bure kabisa

Ukizungumzia ubovu wa comedy za bongo unanikumbushia Futuhi ya startv.Huwa nawaza hii futuhi inaendeshwa na vichaa!

Sisi wa kanda ya ziwa na kigoma hutuambii kitu kuhusu futuhi. Tuanaipenda kuliko maelezo.
 
wabongo wengi wanafanyia kipaji wakati wakenya wanafanyia taaluma wabongo kipindi cha kaole walikuwa juu sana mpaka huku kenya walikuwa wakitazama tamthilia lakini sikuhizi hawajitambui kabisa
 
Ila wabongo mpunguze kuponda. Halafu unakuta mtu anasema mimi huwa siangalii hizi muvi za kibongo lakini anasema si nzuri, sasa unajuaje si nzuri na huwa huangalii??!!!
 
Pamoja na kuwa mmesema filim za kibongo tu, nafikiri hata upande muziki bado ni ujinga mtupu kabisa na wao hawafanyi vizuri kuendana na uhalisia. mfano kwa upande wa gospel

1.Kuna kwaya moja (...............) kutokea maeneo ya kinondoni, waliimba wimbo wa Ayubu alivyo pata majaribu, lakini ukiangalia video yake unakuta anaye act kama Ayubu ni mwanamke! how come Ayubu awe mwanamke?

2.Kuna muimbaji mmoja (......... ....) kaimba wimbo wa majaribu, shida, kufiwa, utakuta ujumbe ni mzuri unasikitisha tena sana, lakini ukiangalia video yake utakuta wachezaji wake wanacheza kwa stail nyingi tu wakati ni wimbo wa huzuni na ni wa msiba. sasa kucheza kuna kujaje hapa? wakati ni unaelezea mateso?

3.Kwaya nyingine (............) ikaimba kuhusu janga la ukimwi linavyo maliza watu, ukienda kuangalia video yao utakuta wanakwaya hawana usu wa huzuni badala yake ndo kwanza inapigwa gitaa wanakatika jamani! ina maana ukimwi ni wa kufurahia mpaka kuuchezea na kukatika au? bado tuko nyuma sana.
 
Ila wabongo mpunguze kuponda. Halafu unakuta mtu anasema mimi huwa siangalii hizi muvi za kibongo lakini anasema si nzuri, sasa unajuaje si nzuri na huwa huangalii??!!!

Mheshimiwa huwa unajuaje chakula hakijaiva bila ya kukionja? na utaendelea kula katika hoteli isiyoivisha msosi?
 
Pamoja na kuwa mmesema filim za kibongo tu, nafikiri hata upande muziki bado ni ujinga mtupu kabisa na wao hawafanyi vizuri kuendana na uhalisia. mfano kwa upande wa gospel

1.Kuna kwaya moja (...............) kutokea maeneo ya kinondoni, waliimba wimbo wa Ayubu alivyo pata majaribu, lakini ukiangalia video yake unakuta anaye act kama Ayubu ni mwanamke! how come Ayubu awe mwanamke?

2.Kuna muimbaji mmoja (......... ....) kaimba wimbo wa majaribu, shida, kufiwa, utakuta ujumbe ni mzuri unasikitisha tena sana, lakini ukiangalia video yake utakuta wachezaji wake wanacheza kwa stail nyingi tu wakati ni wimbo wa huzuni na ni wa msiba. sasa kucheza kuna kujaje hapa? wakati ni unaelezea mateso?

3.Kwaya nyingine (............) ikaimba kuhusu janga la ukimwi linavyo maliza watu, ukienda kuangalia video yao utakuta wanakwaya hawana usu wa huzuni badala yake ndo kwanza inapigwa gitaa wanakatika jamani! ina maana ukimwi ni wa kufurahia mpaka kuuchezea na kukatika au? bado tuko nyuma sana.

Tupo pamoja...
 
Siyo siri Tanzania inachakujifunza Kenya wapo juu sana katika saana lakini tukiendelea na hawa kina vicent Kigosi lazima tuchekeshe safari bado ndefu sana.
 
Mheshimiwa huwa unajuaje chakula hakijaiva bila ya kukionja? na utaendelea kula katika hoteli isiyoivisha msosi?
Sasa utahukumu vipi hoteli kwa uzoefu wa miaka 10 nyuma. Mimi sio kwamba naona bongo muvi wanafanya vizuri la hasha ila watanzania tuna hulka ya kuponda sanaaaa hadi inakera. Kwa mfano unakuta mtu kaangalia muvi mara ya mwisho 2005 miaka tisa mbele bado anasema muvi zao mbovu mimi huwa siangalii inaingia akilini kweli hii??
 
Jamani, huwa nashangaa sana wasanii wa Tanzania wakitokwa na povu kulaumu kuwa kazi zao zinadhulumiwa, huwa najiuliza kazi zipi? Ni kazi kweli au upuuzi? Labda huko kwenye miziki hatujambo - huko nawapa pongezi zao.

Lakini, ukiangalia filamu, tamthilia au vichekesho(comedy) za Kitanzania, hasa kama ulipitia lile somo la fasihi utaishia kukasirika na wala si kuburudika.
Nimejitahidi kuangalia filamu nyingi za Tanzania nimeishia kujawa na hasira tu, ukirejea fasihi unaona kabisa hakuna uhalisia; Kuanzia mandari (scenes) hadi uwasilishaji (act) haziwasilishi dhana kamili iliyokusudiwa katika uasili na uhalisia wake (sense of reality).

Mimi nimeshindwa kutazama filamu hata moja ya kibongo mwanzo - mwisho kwa sababu hizi, na siwazii kununua CD/mkanda wowote wa kibongo kwa sababu ya viwango kuwa chini sana!

Ebu angalia comedy hii kutoka Kenya utaelewa nina maana gani. Kuanzia mandari ya kimahakama, namna uendeshaji wa kesi unavyofuata uhalisia, hisia za wasanii, uhalisia wa kujieleza, no foolish exagerations, n.k. - na bado wanakuchekesha!
Hongera Wakenya kwa Comedy maridhawa.Wasanii wa kibongo amkeni acheni kazi za kitoto!!





pia kuna hili suala la kuigiza fake life (kila muvi mtu yeye tajiri) tena mwingine anajiapiza " mimi ku'act u'house girl sitaki mimi)....(kila muvi yenye pastor yule bwana mnyamba hakosekani.. au kila daktari bwana cheni..tajiri ni ray na mwenzie jb kila muvi..kijijini muhogo mchungu.. mzee mtata jengua. na yule magari)
..... nimebahatika kuwa na hizi muvi za wenzetu wa kenya
**SOUL BOY (hii imeektiwa kibera)
**NA NAIROBI HALF LIFE (hii nairobi**real life situation)
hata zile tamthilia zao za kitambo mfano TAUSI yani zilikuwa na uhalisia kabisa
.......aisee hadi nimesisimkwa mwili jamaa wana real talent na sio kama hawa wetu wapaka "hair waves" na kufuga vitambi tu....ujanjaujanja mwiingi
.........
hivi tunashindwa kuwa na muvi na tamthilia zilizo katika ubora wa picha na uigizaji kama
**CHUMO
**SIRI YA MTUNGI
........daaah nachoka kabisa
 
Last edited by a moderator:
Jamani, huwa nashangaa sana wasanii wa Tanzania dwakitokwa na povu kulaumu kuwa kazi zao zinadhulumiwa, huwa najiuliza kazi zipi? Ni kazi kweli au upuuzi? Labda huko kwenye miziki hatujambo - huko nawapa pongezi zao.

Lakini, ukiangalia filamu, tamthilia au vichekesho(comedy) za Kitanzania, hasa kama ulipitia lile somo la fasihi utaishia kukasirika na wala si kuburudika.
Nimejitahidi kuangalia filamu nyingi za Tanzania nimeishia kujawa na hasira tu, ukirejea fasihi unaona kabisa hakuna uhalisia; Kuanzia mandari (scenes) hadi uwasilishaji (act) haziwasilishi dhana kamili iliyokusudiwa katika uasili na uhalisia wake (sense of reality).

Mimi nimeshindwa kutazama filamu hata moja ya kibongo mwanzo - mwisho kwa sababu hizi, na siwazii kununua CD/mkanda wowote wa kibongo kwa sababu ya viwango kuwa chini sana!

Ebu angalia comedy hii kutoka Kenya utaelewa nina maana gani. Kuanzia mandari ya kimahakama, namna uendeshaji wa kesi unavyofuata uhalisia, hisia za wasanii, uhalisia wa kujieleza, no foolish exagerations, n.k. - na bado wanakuchekesha!
Hongera Wakenya kwa Comedy maridhawa.Wasanii wa kibongo amkeni acheni kazi za kitoto!!





Miaka 3 iliyopita niliwahi kuandika hapa kuhusu wasanii wa Tz,

Bado bado sana mm ni mwenzako sijawahi kununua cd yoyote ya kisanii hapa tz.

Ukipata msanii mwenye muelekeo anakua hana director mzuri ni tofauti na uhalisia wa filamu za nchi nyengne.

Tuwashauri waende shule wakasome, ukiangalia filamu nzima inachezwa na watoto chini ya miaka 24 uyouyo anajigeuzageuza tu
 
Last edited by a moderator:
Wengi waliojadili hoja wamedai hawajanunua dvd za filamu za bongo....sasa watajuaje ubovu wake!

Tusichotaka kukifahamu kuwa tatizo si wasanii bali ni jamii nzima ambayo kwa mfano tunakubali kuwa sifa ya mtu kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika, wakati majirani zetu wanaosifiwa ni kuanzia sekondari. Wakati wenzetu ubunge ni utumishi na uwakilishi wa wananchi ambao huwa na uwezo wa kuwafukuza km hawawatumikii wapiga kura; kwetu sisi ubunge ni mradi wa kujinufaisha binafsi na ubwana ambao mpigakura hana uwezo wa kuugusa. List ni ndefu ila itoshe tu kusema hata ubora wa elimu ya sasa ni duni, na kama walimu hawana molari ya kufundisha, wanafunzi watajua fasihi kwa maana halisi ya fasihi andishi ama simulizi?

Kubaki kulalamika tu bila kuwa mstari wa mbele kuleta ufumbuzi ni kuwa sehemu ya tatizo. Inapofika wakati mwafaka tuchague viongozi ambao kwa kuwaangalia tu kwa sura zao wanaonyesha sifa za kupigania haki na maslahi ya taifa, na si maslahi yake binafsi, ya chama chake ama kundi laki. Tukikubali kuhongwa kwa kanga, t-shirt na pilau tutaendelea kubaki tulivyo daima dumu.

Mungu ibariki Tanzania
 
tatizo kubwa la wabongo ni shule na kuforce vitu..mtu hana kipaji cha kuigiza but kwa kukosa ajira anaforce kuwa muigizaji...mwingine hana kipaji cha kuimba but anaenda hivyo hivyo na promotion za kijinga za kina clouds eti nae ni mwanamuziki....wasanii wa bongo kwa vipaji ni wachache sana kama akina mzee majuto,mzee small-rip,kanumba-rip etc.,....lakini hao wengine mmmmmh wanaforce force tu mambo....hata wale waigizaji wa siri ya mtungi wengi wao wana vipaji but hawana promotion nzuri tu..
nawakilisha wakuu.
 
Huna lolote we ni mamluki mkenya unawachota akili watz waone vya kwao sio,nimekustukia!
 
Kama kwangu mimi ni filamu za nigeria,ukikuta wabongo basi ni za watoto wangu tena kwao.
 
Back
Top Bottom