Hongera JWTZ

Hongera JWTZ

Lakini hapo nawe unakosea, majukumu ya jwtz ni tofauti na polisi, hawa polisi shughuri zao za kila siku ni za kukutana na raia, ndio maana ni raisi kuona mabaya yao, ni kutokana na majukumu yao. Hata hao unaowasifia tena wao ndio wanyama kweli kuliko hata hawa polisi, wa kova, waulize watu wa mtwara, na waathirika wa operation tokomeza.

Wewe choko stiki utakula?
 
Leo hii wangepewa majukumu kama ya Polisi hakika ungewadharau kuliko unavyo wadharau Polisi
 
Uzalendo wao unatokana na uongozi uliotukuka walio nao,nasikia kiongozi wao kaomba kustaafu baada ya kupangiwa mikakati ya kipuuzi kufuatia uchaguzi mkuu ujao itakayopelekea umwagaji wa damu.

chonde chonde jk usisaini ule muswada wa sheria ya mitandao!
 
Lakini hapo nawe unakosea, majukumu ya jwtz ni tofauti na polisi, hawa polisi shughuri zao za kila siku ni za kukutana na raia, ndio maana ni raisi kuona mabaya yao, ni kutokana na majukumu yao. Hata hao unaowasifia tena wao ndio wanyama kweli kuliko hata hawa polisi, wa kova, waulize watu wa mtwara, na waathirika wa operation tokomeza.

Nimeishi karibu na kambi za JWTZ zaidi ya 7, hawana hayo matatizo hadi ukiwatibua na kutofuata sheria zao! Wengine tunaishinao mitaani wala hawana tatizo kabisa! Tatizo nyie watz mnapenda kupindisha sheria kwa sbb vichwa vyenu vinawaza rushwa rushwa! Mimi natamani sana utawala wao kwakuwa ni wa kizalendo zaidi! Huwa najisikia amani sana ninapowaona JWTZ kuliko hao POLICCM! JWTZ hawafanyi kaza kwa maelekezo kutoka juu kama POLICCM, wao maranyingi za kuambiwa wanachanganya na zao, ndiyo maana JWTZ wanapendwa na raia wote!
 
Polisi wakishindwa majukumu ndio utawaona Wazee wakiingia mtamboni.

Ni majukumu gani Polisi walishindwa?mbona mmelalamika kwamba Polisi wanakula rushwa kwanini msiwape hayo majukumu hao mmnao amini hawali rushwa
 
Big up JWTZ. Kweli ninyi ni jeshi la wananchi. Ni jeshi letu sisi kama nchi, sio jeshi la vyama.
Ndio maana mnapendwa na wanachi wenzenu. Taasisi zote za dola zingeiga mfano wenu kufanya kazi kwa bidii na kizalendo, naamini tungekuwa mbali zaidi ya hapa tulipo.

Nchi nyingine zina majeshi pia lkn kamwe wanajeshi na raia ni kama wanaishi sayari tofauti. Uonevu, dhuluma, rushwa na kadhalika ni nyimbo. Lkn kwetu sisi, hadi raia kujivunia ninyi si kitu kidogo. Keep it up?
 
Uzalendo wao unatokana na uongozi uliotukuka walio nao,nasikia kiongozi wao kaomba kustaafu baada ya kupangiwa mikakati ya kipuuzi kufuatia uchaguzi mkuu ujao itakayopelekea umwagaji wa damu.

Kweli. Yaani CCM kwa kutaka kulazimisha mambo acha tu. Kweli jeshi sio makonda
 
Back
Top Bottom