Kwa hivi sasa taasisi ya umma ambayo bado inaaminiwa na wananchi wa Tanzania, ni JWTZ pekee, si Polisi, si Mahakama, si usalama wa Taifa, si Takukuru, si Rais, si Bunge, si ....
Sijawaona lakini Popote katika sehemu zenye mafuriko sasa hii promo huku kwa kutoa lift ya nini? Kama hukupanda hilo basi itakuwa jaamaa waliwatoza nauli baadaye unajuaje