omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,444
- 2,700
Ukiwaita wanafiki naona kama unawaongezea heshima maana wanafiki mara nyingi hutumia akili tofauti na hawa!Wanafiki wanapiga pesa

Yangu masikio
Sababu yoyote iliyofanya akasema hayo sio muhimi. Muhimu ni hayo mawazo aliyotoa. Sasa tunataraji mwanzo mpya. Ukawa kurudi, mijadala yenye upendo, hoja kutoegemea vyama, maamuzi ya pamoja, katiba inayokubalika kwa wote, mawazo ya wachache kupewa nafasi. Nk
ccm huwa siwaamini kabisa , wana hila mbaya sana hawa watu. Ngoja tutaona mwisho wa hii movie.
Kinachonishangaza na hao CCM ni kwamba wana mashaka na takwimu za Judge Warioba, that is fine. Lakini kwa busara ya kawaida kama wana maahaka na takwimu, wangemuita Judge Warioba kwenye BMK ili kuzitolea ufafanuzi. Na kama angeshindwa kuwaondolea mashaka basi ndio wangekuwa na haki ya kuziponda. Lakini CCM hawataki kufanya hivyo! Guess why? Kuhusu misimamo ya makundi CCM v UKAWA, mimi ningeshauri kama CCM msimamo wao ni serikali 2 na UKAWA msimamo wao ni serikali 3, basi wengekubaliana NEUTRAL MUUNDO yaani SERIKALI 1. Hiyo ndiyo ingekuwa WIN WIN SITUATION for both CCM AND UKAWA
Kwani hayo ameyajua leo,mbona hayasemi akiwa mjengoni,au katumwa akasafishe hali ya hewa baada yakuona mambo yamewaelea,
Kinachonishangaza na hao CCM ni kwamba wana mashaka na takwimu za Judge Warioba, that is fine. Lakini kwa busara ya kawaida kama wana maahaka na takwimu, wangemuita Judge Warioba kwenye BMK ili kuzitolea ufafanuzi. Na kama angeshindwa kuwaondolea mashaka basi ndio wangekuwa na haki ya kuziponda. Lakini CCM hawataki kufanya hivyo! Guess why? Kuhusu misimamo ya makundi CCM v UKAWA, mimi ningeshauri kama CCM msimamo wao ni serikali 2 na UKAWA msimamo wao ni serikali 3, basi wengekubaliana NEUTRAL MUUNDO yaani SERIKALI 1. Hiyo ndiyo ingekuwa WIN WIN SITUATION for both CCM AND UKAWA
Mmemsikia prof. Kabudi leo akiwa zanzibar......? Msingi wa muungano, agenda, njozi, na matamanio ya mwalimu.....ameweka kila kitu hadharani na kwkaweli ameshukuru kuitumia kwaresma hii kuuweka ukweli na msingi wa rasimu ya katiba iliyopo mezani....amesema sote ni waja wa mungu, sote tutakufa, na wale wanaotuhukumu leo kwa kupuuza rasimu yao mbele ya umma wote tutahukumiwa kwa haki na kweli mbele ya mungu.
Ni huzuni tbc kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya kongamano muhimu ambalo makamu wa rais wa jamhuri ya muungano anashiriki kisa ni utayari wa prof. Kabudi kuweka bayana kilichochomo kwenye rasimu na msingi wake.....
Job Ndugai kwenye issue ya Katiba yuko fame