Hongera Job Ndugai

Hongera Job Ndugai

Sijui watajitetea nini... Wangekuwepo UKAWA wangesema kulikuwa na mjadala mkali labda. Kwa sasa wapo wenyewe, ni kitendo tu cha "Kifungu kinapitishwaa?"... Ndioooo.... nusu saa tu rasimu tayari...

Hahahaha!! Uko sahihi kabisa lakini makonda yuko tayari kuachia posho?
 
Hahahaha!! Uko sahihi kabisa lakini makonda yuko tayari kuachia posho?

Usishangae kikaibuka "Makonda one theatre group" kikaanza kutetea serikali moja, ili tu wapate sababu za kuendelea kukaa Dodoma...
 
Usishangae kikaibuka "Makonda one theatre group" kikaanza kutetea serikali moja, ili tu wapate sababu za kuendelea kukaa Dodoma...

Ukawa wamewashika pabaya wanatafuta pakutokea hewa inawabana wanafurukuta Ku a evacuate kwenye mchakato.
 
Kinachonishangaza na hao CCM ni kwamba wana mashaka na takwimu za Judge Warioba, that is fine. Lakini kwa busara ya kawaida kama wana maahaka na takwimu, wangemuita Judge Warioba kwenye BMK ili kuzitolea ufafanuzi. Na kama angeshindwa kuwaondolea mashaka basi ndio wangekuwa na haki ya kuziponda. Lakini CCM hawataki kufanya hivyo! Guess why? Kuhusu misimamo ya makundi CCM v UKAWA, mimi ningeshauri kama CCM msimamo wao ni serikali 2 na UKAWA msimamo wao ni serikali 3, basi wengekubaliana NEUTRAL MUUNDO yaani SERIKALI 1. Hiyo ndiyo ingekuwa WIN WIN SITUATION for both CCM AND UKAWA

naungana na wewe kama 2 haiwezekani na 3 ni ngumu kumeza basi. serikali 1 tukose wote , na nafikiri. mwisho wa siku watakwenda kwenye serikali 1 kama Ukawa wakirudi bungeni
 
Kinachonishangaza na hao CCM ni kwamba wana mashaka na takwimu za Judge Warioba, that is fine. Lakini kwa busara ya kawaida kama wana maahaka na takwimu, wangemuita Judge Warioba kwenye BMK ili kuzitolea ufafanuzi. Na kama angeshindwa kuwaondolea mashaka basi ndio wangekuwa na haki ya kuziponda. Lakini CCM hawataki kufanya hivyo! Guess why? Kuhusu misimamo ya makundi CCM v UKAWA, mimi ningeshauri kama CCM msimamo wao ni serikali 2 na UKAWA msimamo wao ni serikali 3, basi wengekubaliana NEUTRAL MUUNDO yaani SERIKALI 1. Hiyo ndiyo ingekuwa WIN WIN SITUATION for both CCM AND UKAWA

Naam! Umesikika bila shaka wataelewana wataacha mamisimamo yao.ccm wakiacha misimamo Taifa litasonga mbele na wananchi wataendelea kuwaamini ccm lakini kwa hiyo misimamo inatia shaka kidogo
 
Naendelea kuwashukuru wote mnaojikita kwenye hoja hakika hili jukwaa linapendeza kweliweli.mjadala ni mkali na kila mtu yuko very smart kwa kile anachokiamini.

Hoja nyingi zimelenga kutuleta pamoja na kufikia muufaka kuelekea nchi moja na Taifa moja.
 
wakiwa nje ya bunge wanakuaga wazuri kama wale wa bunge toka znz ccm wamekuja kuitetea nchi yao znz wanapoingia bungeni wanavurugwa akili badala ya kusimamia waliyo toka nayo nje wanajikuta wanaitetea ccm bungeni,wakitoka nje wanajuta na kujirudi lakini waki ingia tena bungeni wanasahau maksudi waliyo kwenda tetea toka kwa wananchi
 
Wapi LUSUNGO, LIZABON, MWA4,... Changieni nanyi tuone mawazo hapa, mnasemaje kuhusu kauli NDUGAI?
 
...nami nimeshangaa leo kaibuka na maneno mazuri sijui kazaliwa upya!!! nimependa zaidi pale aliposema kwamba ili tupate Katiba inayostahili kitu MARIDHIANO haikiepukiki, na ili tufikie hayo maridhiano wajumbe hawana budi kuacha misimamo yao pembeni na wote kuwa na kauli moja yenye nia ya kujenga. Hivyo kusikilizana, kukubali kukosolewa ndani ya Bunge ndiyo njia pekee itakayotufikisha pale watanzania wanapopataka.

kwaresma hi, anatubu dhambi zake pia anasema yaliyo moyoni mwake na sio ya kikwete
 
ni mmoja kati ya wabunge wasomi wasio wavivu wa kutumia elimu yao kwa maslahi ya waliowengi! ni mbunge wangu, yuko makini namkubali ukiondoa mapungufu ya kibinadamu kwani yeye si malaika! kauli yake imetia matumaini mapya ya kupata katiba mpya ya wananchi! BIG UP Hon. Ndugai!
 
...nami nimeshangaa leo kaibuka na maneno mazuri sijui kazaliwa upya!!! nimependa zaidi pale aliposema kwamba ili tupate Katiba inayostahili kitu MARIDHIANO haikiepukiki, na ili tufikie hayo maridhiano wajumbe hawana budi kuacha misimamo yao pembeni na wote kuwa na kauli moja yenye nia ya kujenga. Hivyo kusikilizana, kukubali kukosolewa ndani ya Bunge ndiyo njia pekee itakayotufikisha pale watanzania wanapopataka.

Naam, haya maneno ya Job yameshiba kweli kweli ! Hakuna sababu ya kubeza ni kushikamana pamoja nakumuunga mkono kama ameyasema kwa nia njema. Wahenga wanasema yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Nakushukurua sana kwa mchango wako utaisaidia nchi kutupeleka tunakopataka.
 
Naungana na kauli yako ndugai ila Anglia ccm wasije kukumaliza kwa sababu wewe ni kiongozi mkubwa Sana
 
Akirudi bungeni anabadilisha msimamo!

Hawa watu si wa kuaminika!

Kuna misimamo aina mbili.ule wa chama na wakwake binafsi.kimsingi msimamo sahihi ni ule binafsi kama wa kangi Lugola .

Papa Benedict XVI tangu akiwa kardinali Ratzinger, ameifundisha dunia kwamba, tamko la kiongozi mmoja mmoja jasiri, kwenye suala zito la nchi yeyote, ndilo tamko lenye nguvu kuliko tamko la kikundi kizima.hakika Ndugai umenena na hilo ni tamko lenye nguvu kuliko tamko la chama chako.

Nimeamini kura ya siri ni kura pekee yenye sauti kuu inayotubakisha salama ndani ya utaifa wetu na umoja wetu.
 
CCM walijua kuwa wapo watu wenye akili kama za Ndugai ambao muda wowote wanaweza kubadilika na kufanya kile ambacho wananchi wengi wanakitaka.Ndiyo maana wakalazimisha kura za wazi ili kuwazibiti watu watakao weza kuwasaliti kama Ndugai.

Duh wewe noma.Kwamba CCM inawajua watu wake kuwa cyo wote wapo upande wa CCM ila wengine wamelalia upande wa WANANCHI!!!!!!!!!!.
 
Back
Top Bottom