Hongera jeshi letu pendwa la polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera jeshi letu pendwa la polisi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by the mkerewe, May 24, 2011.

 1. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bila Aman nchi haiwezi kusonga mbele.

  Kwa hali ilvyo sasa na soon baada ya uchaguzi kama sio uimara wa polisi nchi ingewaka moto

  try to imagine wewe ungekuwa IGP na ni wajibu wako kulinda amani ingekuwaje kama sio wajinga wachache wapenda vurugu kuwafutilia mbali?

  Ni muhimu kulinda amani ya maelfu kwa gharama ya uhai wa wachache pindi inapolazimu.

  Nchi hii haiwezi kulea majambazi/wavunja sheria/waropokaji/wakabila.

  Nawakilisha
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,284
  Likes Received: 834
  Trophy Points: 280
  Mapigano gani mengine wakati yanaendelea kila siku, ndani ya familia,kaya,miji, mitaa,vijiji unataka ya frontline yasubiri yaja
   
 3. Ellyson

  Ellyson JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 1,717
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Pole!! Unaonekana si mzima kiakili. Post zako zote utadhani zimeandikwa na mfu. Pole kwa mawazo mgando uliyonayo!!!!
   
 4. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,905
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Huyu mwanzisha maada aende Kampala akapewe kazi na Museveni kwani POLOSI wake wana mawazo kama ya huyu JAMAA aka askari mkosa kikosi
   
 5. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe huwezi waza jambo njee ya slaaa
   
 6. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  nashukuru hii ni post yako ya pili naona nakuhakikishia sitakaa nipoteze muda wangu kusoma post zako za kipumbavu,

  namshukuru rev kwa jibu alilokupa for sure you deserve that sweet answer and a lot more to come. as for me lile tusi kubwa ambalo wewe unadhani ni kubwa ndo nimekutukana.
   
 7. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,489
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Weee una akili sana Mkuu wetu. Kama huyu nduguyo hapa chini:

  [​IMG]
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 56,849
  Likes Received: 19,386
  Trophy Points: 280
  Huo ni ukweli usio pingika, hao nilioweka red utawaona humu sasa hivi, wala hawajafichi.
   
 9. F

  FUSO JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 10,455
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
  angepigwa risasi baba yako mzazi, then wewe uje na hii post ningeelewa kweli wewe ni mzalendo wa dhati, vinginevyo unaonekana wewe ni sawa na wale wale wachumia tumbo na akili katikati ya mapaja.

  nyie ndiyo kina YES sir, YES sir bila hata kudadilsi hoja ili mradi tu umepata mia mbili mwisho wa siku, unakubali utumwa kwa tumbo tu.

  Yaani kwa akili yako IGP wako amelinda amani kwa style hii au kachafua zaidi hali ya hewa? hivi wananchi wote wakiamua kutoka majumbani na kuingia barabarani hilo jeshi lako litaweza kuwahimili?
   
 10. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,351
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Jeshi la Polisi limeua raia na kuchukua maiti zao mochwari na kuzitelekeza barabarani. Then mtu anakuja hapa anaanzisha thread ya kuwapongeza polisi wakati hata uchunguzi haujafanyika kuona kama polisi walitumia nguvu kiasi, post kama hizi inabid Mods waziondoe haraka sana maana zina leng la kuudhi watu tu. Hivi mfiwa anajisikiaje anapoona kuna mtanzania mwenzake anampongeza askari kwa kuua ndugu yake? Tafadhari hii thread iondolewe haraka.
   
 11. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  umelaaniwa wewe, gosh what do other people use for thinking i really hope its not the normal brain that useful people use. embu nijibu unatumia nini kufikiri?
   
 12. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,351
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Are u a Manchurian Candidate?
   
 13. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,125
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Duh, mtu mwenyewe kumbe foxy. ni sahihi kabisa kuwa na mtizamo kama wa Mkerewe. Nyie watu sijui ni watanzania au wanyarwanda. Yaani mnashabikia polisi kuua watu? Lazima nyie hamjawahi kukutana nao kwenye anga zao. Laiti ingetokea mara moja mkaingia kwenye anga zao ndo mngejua kwamba Polisi wa Tanzania ni zaidi ya mashetani.
   
 14. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  maskini weeeh, mtu mzima unajiaibisha mwenyewe tena bila kulazimishwa huku unacheka du.
   
 15. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,125
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  My friend, kuna watu wana akili kama ya bundi. Ni kama laana hivi kuwepo kwao katika dunia. Ndiyo maana napata shaka kuelewa kama the Mkerewe na Foxy ni watanzania au wasomali hawa. wanaoona fahari kuona miili ya wenzao ikigalagala njiani baada ya kupigwa risasi. Lazima hawa si watu wa kawaida.
   
 16. Mbwiga_Plus

  Mbwiga_Plus Senior Member

  #16
  May 24, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umetaja kama ifuatavyo:
  PHP:
  Nchi hii haiwezi kulea majambazi/wavunja sheria/waropokaji/wakabila.
  Mbona wezi wa mali za nchi hujawasema?
   
 17. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,602
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Makenge mengine hayana mikia.
   
 18. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #18
  May 24, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,095
  Likes Received: 599
  Trophy Points: 280
  Post pumba kama hizi kutolewa na kijana wa kitanzania zinaonyesha kwa nini Tanzania imekuwa inarudi nyuma wakati majirani zetu wakisonga mbele.
   
 19. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #19
  May 24, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 56,849
  Likes Received: 19,386
  Trophy Points: 280
  Hujaona juzi wawili wamefungwa? Unanshangaza!
   
 20. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #20
  May 24, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 56,849
  Likes Received: 19,386
  Trophy Points: 280
  Si umeona, huyu mmoja wapo, katika walewale!
   
Loading...