Mkuu huwa wanafanikiwa kwenye yale matukio yao ya mazoeziKati ya wafanyakazi wa umma ambao wamebarikiwa kwa kula mishaara ya bure bila kufanya kazi wanaongoza ni zimamoto. Sijawahi kusikia wamethibiti janga lolote. Ni bora hili jeshi liwe kwenye kitengo cha polisi hili wawe wanapangiwa majukumu mengine anagalau wapige kazi sio kila siku kuwa ofisini bila kufanya kazi yoyote. Bora hata askari wa JWTZ wanapangiwa majukumu ya uzalishaji mali kupitia vitaga uchumi vyao ila hawa zimamoto ninkusubiri tu janga litokee na huwa hawalidhibiti. Cha kushangaza zaidi na wenyewe wanalipwa laki tatu ya posho kila mwezi nje ya mshaara plus laki moja ya vinywaji wakati mwalimu anayefanya kazia kubwa kila siku hana posho hata shilingi mia,hii nchi sijui tunakwama wapi.
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787] ilikuwaje mkuu?Mitaa fulani uswahilini paliwahi tokea ajali ya Moto,Kama kawaida yao wakaja bila maji halafu wakataka kusepa,hahahahaaaa walitulizwa ,raia wakazima Moto Ila na fwaya walijuuta kuja bila maji!!
Mkuu Mimi nimeGoogle. Haya mzoezi ni mahitaji (requirement) ya shirika la kimataifa la usalama wa anga ICAO. Kila nchi inafanya kufuatana na uwezo wake. Haya mambo yako kikanuni na Viwanja ndio vinaandaa na sio Jeshi la Zimmoto. Zimamoto wanashiriki kama wadau. Google Mkuu utapata yote.fara wee nimechekaaa
Huo mfano wako umenifanya nicheke kwa sauti mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katika mambo yanayonifurahisha hapa duniani ni mazoezi ya utayari yanayofanywa na Jeshi la Zimamoto.
Yaani wanaenda sehemu kama airport wanawasha moto halafu wanajipigia simu wanakuja kuuzima kwa wakati, wengine wana act wamezimia, wanabebwa na kupewa huduma yakwanza.
Baada ya hapo wanaongea na vyombo vya habari kujisifia kwa kuwa tayari kudhibiti majanga muda wote, very funny [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa mnanikumbusha kisa cha rafiki yangu mmoja aliyekuwa mtaalamu wa michezo ya karate, kila siku anatuonesha style za kupambana na adui siku moja akaingia kwenye 18 za muuza mkaa akachezea kichapo cha hatari, badae akatwambia maadili yao hayaruhusu kupigana hovyo ila anatwambia hivyo akiwa hoi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa zimamoto nao kwenye mazoezi real wana sababu nyingi balaa mara barabara mara maji [emoji23][emoji23][emoji23] duuuh
dahh raia mna maneno yan waokolewe kabla hawajaokoa mali za watu hahahhahahahKati ya majeshi dhaifu ni hili la zimamoto. Linatakiwa kuokolewa kabla ya kuokoa mali za raia.
Tuliwashughulisha ipasavyo Mkuu[emoji16][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787] ilikuwaje mkuu?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Huu uzi umenichekesha sana asubuhi hii.Katika mambo yanayonifurahisha hapa duniani ni mazoezi ya utayari yanayofanywa na Jeshi la Zimamoto.
Yaani wanaenda sehemu kama airport wanawasha moto halafu wanajipigia simu wanakuja kuuzima kwa wakati, wengine wana act wamezimia, wanabebwa na kupewa huduma yakwanza.
Baada ya hapo wanaongea na vyombo vya habari kujisifia kwa kuwa tayari kudhibiti majanga muda wote, very funny [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa mnanikumbusha kisa cha rafiki yangu mmoja aliyekuwa mtaalamu wa michezo ya karate, kila siku anatuonesha style za kupambana na adui siku moja akaingia kwenye 18 za muuza mkaa akachezea kichapo cha hatari, badae akatwambia maadili yao hayaruhusu kupigana hovyo ila anatwambia hivyo akiwa hoi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa zimamoto nao kwenye mazoezi real wana sababu nyingi balaa mara barabara mara maji [emoji23][emoji23][emoji23] duuuh
Kama hata ofisi za chama za mabati hawana ndio wataweza kununua magari ya fire ya milioni 600 nchi nzima?Chama chote cha siasa chenye usajili wa kisheria kinaweza ongoza nchi vizuri
inauma sana yaani mambo yanaenda kinyume kinyume,nyuma mbele mbele nyuma.Kati ya wafanyakazi wa umma ambao wamebarikiwa kwa kula mishaara ya bure bila kufanya kazi wanaongoza ni zimamoto. Sijawahi kusikia wamethibiti janga lolote. Ni bora hili jeshi liwe kwenye kitengo cha polisi hili wawe wanapangiwa majukumu mengine anagalau wapige kazi sio kila siku kuwa ofisini bila kufanya kazi yoyote. Bora hata askari wa JWTZ wanapangiwa majukumu ya uzalishaji mali kupitia vitaga uchumi vyao ila hawa zimamoto ninkusubiri tu janga litokee na huwa hawalidhibiti. Cha kushangaza zaidi na wenyewe wanalipwa laki tatu ya posho kila mwezi nje ya mshaara plus laki moja ya vinywaji wakati mwalimu anayefanya kazia kubwa kila siku hana posho hata shilingi mia,hii nchi sijui tunakwama wapi.
walifanywa nini baadaeMitaa fulani uswahilini paliwahi tokea ajali ya Moto,Kama kawaida yao wakaja bila maji halafu wakataka kusepa,hahahahaaaa walitulizwa ,raia wakazima Moto Ila na fwaya walijuuta kuja bila maji!!
wameumbuka mchana kweupe maana makao makuu yao na kariakoo ni pua na mdomo.Zimamoto..... Siwaamini tena... Kwa kilichotokea Kariakoo... Wali-Prove failure kabisa..
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu walishughulishwa wao na gari lao.. Kwetu hawaji bila maji au poda au povu kwa ajili ya kuzima Moto heshima juu!
kwenu ni wapi huko na mimi nihamie nimepatamani sanaMkuu walishughulishwa wao na gari lao.. Kwetu hawaji bila maji au poda au povu kwa ajili ya kuzima Moto heshima juu!
Ni mgambo wa jiji waliochangamka...Zima Moto Ni sawa na mgambo wa jiji [emoji57][emoji57]