adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,721
acha kabisa.😅
Yaani tunacheka utafikiri mazuri!!
acha kabisa.😅
Yaani tunacheka utafikiri mazuri!!
Unatagemea nini yaani ccm ni sawa na mpangaji ukimuacha kwa muda mrefu anaweza kufoji hati ya nyumbe yako nakukataa kutoka watanzania tujifunze kutoa mkata wa mwaka moja kwa wapangaji huyu mpagi wetu ccm kumuondoa kwenye pango tutayamba... hiki mafungu yake yanatoka vote 20 ambayo CAG haingizi pua mzee!
[emoji16][emoji16]dah imebidi nicheke tuHawa zimamoto kazi imewashinda kitengo wapewa police wa washa washa wale wako vizuri sana sajawai ona wanashindwa hata siku moja
Ha ha ha!fara wee nimechekaaa
Nashangaa sana wanaitwa jeshi wakati hata ghala la silaha hawana.Fire wote ni raia.Zima Moto Ni sawa na mgambo wa jiji [emoji57][emoji57]
Hahahhahaa CCM haoHawa wahuni tu, ingekuwa amri yangu ningewafuta kabisa, imagine kuna mtoto alizama kwenye bwawa karibu na mlimani city, wakaenda na magari yao, kufika pale wakaanza kupekecha maji na vijiti, jamaa mmoja raia akaona hawa wajinga, akajitosa majini akazama akamtafuta mtoto akaibuka naye.
Waziri wao wa mambo ya ndani wakati huo Nahodha wa Zanzibar akasema ingependeza wamuajiri yule jamaa aliyezama majini maana ilikuwa aibu kwa kikosi kizima cha fire
Mkuu nchi hii mambo ya kijinga ndo huwa yanapewa kipaumbele na viongozi mambo muhimu kwao ni mwikoNashangaa sana wanaitwa jeshi wakati hata ghala la silaha hawana.Fire wote ni raia.
AmenKumomomoki walah
Umenivunja taya kwa kucheka
Barikiwa mkuu!
Kwenye majanga visingizio na sababu zinakuwa nyingi sana, kwenye kuwakamua hela za 🔥 wako mstari wa mbele kama tai,na usipotoa unatishiwa kupelekwa mahakamaniKatika mambo yanayonifurahisha hapa duniani ni mazoezi ya utayari yanayofanywa na Jeshi la Zimamoto.
Yaani wanaenda sehemu kama airport wanawasha moto halafu wanajipigia simu wanakuja kuuzima kwa wakati, wengine wana act wamezimia, wanabebwa na kupewa huduma yakwanza.
Baada ya hapo wanaongea na vyombo vya habari kujisifia kwa kuwa tayari kudhibiti majanga muda wote, very funny [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa mnanikumbusha kisa cha rafiki yangu mmoja aliyekuwa mtaalamu wa michezo ya karate, kila siku anatuonesha style za kupambana na adui siku moja akaingia kwenye 18 za muuza mkaa akachezea kichapo cha hatari, badae akatwambia maadili yao hayaruhusu kupigana hovyo ila anatwambia hivyo akiwa hoi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa zimamoto nao kwenye mazoezi real wana sababu nyingi balaa mara barabara mara maji [emoji23][emoji23][emoji23] duuuh
Kausha mkuu.Kwani umeanza Leo kuangalia movies za Kihindi?😝😝😝😝
[/QUOTE
😂😂😂😂😂