Hongera Jeshi la Zimamoto kwa mikwara

Hongera Jeshi la Zimamoto kwa mikwara

Katika mambo yanayonifurahisha hapa duniani ni mazoezi ya utayari yanayofanywa na Jeshi la Zimamoto.

Yaani wanaenda sehemu kama airport wanawasha moto halafu wanajipigia simu wanakuja kuuzima kwa wakati, wengine wana act wamezimia, wanabebwa na kupewa huduma yakwanza.

Baada ya hapo wanaongea na vyombo vya habari kujisifia kwa kuwa tayari kudhibiti majanga muda wote, very funny [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huwa mnanikumbusha kisa cha rafiki yangu mmoja aliyekuwa mtaalamu wa michezo ya karate, kila siku anatuonesha style za kupambana na adui siku moja akaingia kwenye 18 za muuza mkaa akachezea kichapo cha hatari, badae akatwambia maadili yao hayaruhusu kupigana hovyo ila anatwambia hivyo akiwa hoi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa zimamoto nao kwenye mazoezi real wana sababu nyingi balaa mara barabara mara maji [emoji23][emoji23][emoji23] duuuh
Daaah......bongo hataree
 
Fire and rescue force....uwezo wao ni mdogo sana katika kukabiliana na majanga ya moto,lakini hata hivyo majengo mengi ya dsm city centre hayana miundombinu rafiki inapotokea ajali ya moto.
 
Fire and rescue force....uwezo wao ni mdogo sana katika kukabiliana na majanga ya moto,lakini hata hivyo majengo mengi ya dsm city centre hayana miundombinu rafiki inapotokea ajali ya moto.
miundombinu kama ipi?maana vichochoro vyote vya kariakoo kuna barabara za lami,ingekuwa labda ajali imetokea maeneo ya vingunguti au tandale hapo ningekuelewa

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom