Hongera Jeshi la Zimamoto kwa mikwara

Hongera Jeshi la Zimamoto kwa mikwara

Zima moto waanze kulinda mageti sasa hawana kitu wanakula kodi zetu bure

Sitahau siku moja niko zangu kazini kurasini kwenye matank ya total mara alarm kibao tukajua moto watu mbio kumbe majaa etie yalikuwa yanatest wanakuja na kigari kimechoka hovyo kabisa
 
2499830_20200828_105952.jpg
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Ukisikia sauti za ving'ora vya magari yao unaweza kusema ni Fire Fighters wa China ila kumbe ni dhaifu kuliko Fire Fighters wa Cambodia

Yale washawasha si hayana kazi, kwanini yasitumike na jeshi la zimamoto.
Dogo dogooooo dogoooo Myebusi maamae. Karibu jamvini tena chalii yangu. Ulipoteaga wapi dogoooo? Shemeji yako kakuruhusu urudi nini baada ya dada kukukingia kifua na kukutea.

Dah kwa kaka yako uswaz ulikosa bando kabisa???
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Pumbavu sana. Habari za siku ndugu? Mimi nipo kwa kipindi kirefu sana nilikuwa busy kutekeleza majukumu ya kifamilia na bado naendelea na utekelezaji.

Mara moja moja nikiwa na muda nitakuwa naonekana humu.
 
Yani mkuu hadi karibu nikuanzishie uzi umepotea wpi? Nimefurahi kichiz umerudi jamvini. Pia u mzima. Nikutakiana kheri tu kwasababu sasa hivi hujui utakumbana na janga la moto wapi?

Its fakin amazing situation our country is passing through
 
Nimefurahi pia kukuona bila shaka utakuwa umetoka nchi za watu au bado upo huko huko?

Hili taifa lina matatizo mengi kuliko uwezo wa kukabiliana na hayo matatizo, jambo kama hili la jana linaonesha wazi ya kuwa hatujajiandaa kukabiliana na majanga kama hayo
 
Katika mambo yanayonifurahisha hapa duniani ni mazoezi ya utayari yanayofanywa na jeshi la zimamoto.

Yaani wanaenda sehemu kama airport wanawasha moto halafu wanajipigia simu wanakuja kuuzima kwa wakati, wengine wana act wamezimia, wanabebwa na kupewa huduma yakwanza.

Baada ya hapo wanaongea na vyombo vya habari kujisifia kwa kuwa tayari kudhibiti majanga muda wote, very funny [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huwa mnanikumbusha kisa cha rafiki yangu mmoja aliyekuwa mtaalamu wa michezo ya karate, kila siku anatuonesha style za kupambana na adui siku moja akaingia kwenye 18 za muuza mkaa akachezea kichapo cha hatari, badae akatwambia maadili yao hayaruhusu kupigana hovyo ila anatwambia hivyo akiwa hoi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa zimamoto nao kwenye mazoezi real wana sababu nyingi balaa mara barabara mara maji [emoji23][emoji23][emoji23] duuuh
Zima moto ni kikundi cha comedy
 
Uliza bajet wizara upewa bei gani kwajili ya kununua vifaa vya kuzima moto na majanga, kuna vitongo viko vizuri kama kile cha kuzibiti wapinza kile kikovizu sana
... hiki mafungu yake yanatoka vote 20 ambayo CAG haingizi pua mzee!
 
Zima moto waanze kulinda mageti sasa hawana kitu wanakula kodi zetu bure

Sitahau siku moja niko zangu kazini kurasini kwenye matank ya total mara alarm kibao tukajua moto watu mbio kumbe majaa etie yalikuwa yanatest wanakuja na kigari kimechoka hovyo kabisa
... kuna wale jamaa wa KNIGHT SUPPORT enzi za JK walikuwa na magari yao standby maeneo mengi ya jiji. Enzi za JPM walisepa zao ukizingatia alivyokuwa anachukia private sector. Hii issue ya Kariakoo ingekuwa ndogo sana kwao; yaan wangefika on-time. Bahati mbaya ndio hivyo tena, siasa za kipumbavu zimevuruga kila kitu back to square one!
 
Back
Top Bottom