kadoda11 faizafoxy hasemagi uongo
Mkuu nipo fiti sasa hivi namshukuru MUngu.vipi lakini kwa upande wako mambo yanaendaje
Naam sina sifa hiyo, kuhusu Tanzania kupelek binaadam kwenye mars, ushahidi huu hapa:
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/411557-watanzania-wafika-sayari-ya-mars.html
Jee, unataka na wa nyani nikuwekee?
Siku ambayo ccm ikitoka tu madarakani mambo yote yatawezekana hata kombe la dunia tutashiriki kwa sababu watu wataanza kutumia akili zao zakuzaliwa na darasani vizuri,sa hivi walio katika nafasi za maamuzi wanatumia mas&*&%%ri kufikiria..
Ewe punguani, uongo wangu ni nini hapo?
Jisomee: https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/411557-watanzania-wafika-sayari-ya-mars.html
Jee, unataka na ya nyani nikuwekee?
Punguani wahed!
Hawa watu wajinga kweli!! hivi unacopy na kupaste unaweza kushindwa kweli?
hawa watu wajinga kweli!! Hivi unacopy na kupaste unaweza kushindwa kweli?
India ni nchi ya nne kutuma satalait kwenda Mars (sayari nyengine).
Kumbuka wao ni nchi pekee kufanikiwa katika jaribio la kwanza
Na wengi waliofanikisha ni wanawake mmmm ipo kazi kwetu
Jifanye kama umeyasahau matusi faiza
huyu hawezi kusahau matusi mana kusahau matusi kwake ni sawa na kusahau niqab or the so called hijab nyumban na kubaki bere head
my president is handsome
Ukiiga unasema nimeiga sawa, si ndio kanuni za kisomi?, Halafu unajisifia? kwamba tumeega na kufaulu mara moja~!~!!!.yah
ni moja kati ya kanuni za maendeleo yaani
'ukishindwa kuvumbua basi iga'
Ok, kumbe hata kuigiza ni kazi kubwa sana! nashukuru kwa hilo, walau nimepata kitu leo.Lakini jua kwamba kuna mambo ambayo Sio kila mtu anaweza kukopi na kupesiti.