Jamani mkitaja hazina wengine mnatuongezea machungu hazina wanafanya kazi kwa kasi mpya na nguvu mpya kurudi nyuma,hat hapa DSM zipo taasisi za umma hazijapata mshahara.Sijui mnazungumzia hazina ya mbinguni?
Wewe vipi wewe? Leo tarehe 25 December na bado mshahara wangu haujaingia kwenye akaunti. Merry xmas.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Napenda kuwapongeza wahusika wote wanaohusika na hazina kwa kutoa mishahara ya watumishi mapema kabla ya tarehe stahili; wamefanya kazi nzuri sana mwezi huu ambao bado siku chache Watanzania wataungana na watu wengine duniani kusherehekea sikukuu za Krismas na Mwaka mpya. Hongera Mawaziri wahusika, makatibu wa Wizara, Wakurugenzi na wadau wengine pokeeni pongezi hizo na mwendelee hivyo na miezi ijayo.
Mkuu hiyo ni right yenu na sio privilege.
Nashangaa mtu kutoa hongera kwa kitu cha kawaida. Ni kama kumwambia mtu "hongera kwa kutotoka nyumbani kwako uchi"!
Hivi na huko ckuku ipo?
hawa jamaa hata nchi zinazo endeshwa kiislam wanalaamika wananyanyaswa mfano misri wanasema katiba mpya ina wapendelea siasa kali.Hata mbinguni watalamika wanaonewaMohamedi Mtoi,
..hata wakati huu ambapo Katibu Mkuu ni Alhaj Ramadhan Kijjah?
..vipi kuhusu wakati waziri wa fedha akiwa ni Prof.Kighoma Ali Malima, Jakaya Mrisho Kikwete, Zakhia Meghji, na Mustafa Mkulo??
..hao mawaziri wote Waislamu nao walikuwa wakiwakandamiza Waislamu wenzao??
Wewe acha uongo mbona mimi leo ni tarehe 25/12 sijapata? Na sio mimi tu basi sisi wote wa mashirika ya umma pamoja na vyuo vya elimu ya juu hakuna fedha ambayo imeingia kwenye accounts. HIZO SIFA UNAWAPA ZA NINI?Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Napenda kuwapongeza wahusika wote wanaohusika na hazina kwa kutoa mishahara ya watumishi mapema kabla ya tarehe stahili; wamefanya kazi nzuri sana mwezi huu ambao bado siku chache Watanzania wataungana na watu wengine duniani kusherehekea sikukuu za Krismas na Mwaka mpya. Hongera Mawaziri wahusika, makatibu wa Wizara, Wakurugenzi na wadau wengine pokeeni pongezi hizo na mwendelee hivyo na miezi ijayo.
kama wewe umepata kaa kimya,wengine badoooo,