acha umburura, walimsihi masaa nane wapi mzee kasimama wima kama cha kwanza, wakamuwekea sumu, mzee kachomoa, chezea kasisi wewe!Alimkaribisha lowassa,watu wakamuonyesha ramani ya canada kwenye atlas,akamkana lowassa..na hadithi yangu imeishia hapo