Hongera Dr. Slaa kwa kuonesha ukomavu kwenye siasa

Vp mkuu KWANI m/kiti akufikwa dau na MZEE????
umesoma na kuelewa comment yangu ? au umekurupuka tu

Narudia

MBOWE NA SLAA WOTE WAMEWASALITI WATANZANIA

MBOWE kwa kukubali kukiuka misingi ya muda mrefu ya Chama

SLAA Kwa kukubali kuwatumikia CCM kwa kupewa fedha na kuhamishiwa kanada
 
Mbowe aliyekabidhi chama kwa Lowassa ni sawa?

You are making big mistake kuunganisha mambo mawili tofauti, huu uzi ni wa kumsifia Slaa na sababu za kusifiwa zimewekwa hapa, sasa nani kakwambia kila anaempinga Slaa yuko ni mfuasi wa mtu mwingine? Kila mtu namsifia kwa mazuri yake na kumkosoa kwa mapungufu yake.
 
Kuna fununu kuwa smerudia upadri
Shida ya ss watz ni majungu na umbea.nani anaushahidi kuwa dr alipewa pesa na chama tawala.dr kasoma na anaishi kwa elimu yake.anachapa kazi kule na kupiga majungu.dr alikihama chama cha cdm baada ya kuona kinapoteza mwelekeo na kuanza kuwakaribisha watu wasio na maadili ndani ya chama.ni kweli kuna watu waliumizwa na wataendelea kuumizwa na mfumo dume wa cdm.chanzo kikubwa cha dr kuachia ngazi kinajulikana.dr ndiye aliyeifanya cdm ifikie hapo ilipo vinginevyo hakingeweza kufika hapo na kwa ushauri tu subirini uchaguzi ujao mtaona mchango wa dr,
 
Unaweza kuniita vyovyote unavojisikia, it doesn't matter and I don't care. Tatizo liko hapa, unakumbuka ni nani alikua nyuma ya ule mbpango wake? Mbona alipokuja kuulizwa kwamba alionana na watu wa chama tawala hakukana? Unakumbuka yule binti mfanyakazi hotelini alipoteza kibarua kwa sababu gani? Unaposhabikia kitu jaribu kuwa objective.
Hata kama! Mlikosea kumpokea MTU mliyetuambia fisadi na ushahidi mlisema mnao!! Dunia nzima inawashangaa kwa unafiki wenu!!
 
Alimkaribisha lowassa,watu wakamuonyesha ramani ya canada kwenye atlas,akamkana lowassa..na hadithi yangu imeishia hapo
siku hizi nimeanza kuamini kuwa ukatoliki nchi hii ni shida, siku hizi si jukwaa la katiba wala watetezi wa haki za binadamtu utawasikia wakikosoa utawala huu dhalimu.

pengine hata hao kina slaa walikuwa kwenye project ya wakatoliki, kwa kuwa mtawala hakuwa mkatoliki,

amini usiamimi kuna kasindicate kaubaguzi nakachungulia kwa mbali, inakuwaje hizi NGO zinakuwa active raisi akiwa si mkatoliki
 
Shida ya ss watz ni majungu na umbea.nani anaushahidi kuwa dr alipewa pesa na chama tawala.dr kasoma na anaishi kwa elimu yake.anachapa kazi kule na kupiga majungu.dr alikihama chama cha cdm baada ya kuona kinapoteza mwelekeo na kuanza kuwakaribisha watu wasio na maadili ndani ya chama.ni kweli kuna watu waliumizwa na wataendelea kuumizwa na mfumo dume wa cdm.chanzo kikubwa cha dr kuachia ngazi kinajulikana.dr ndiye aliyeifanya cdm ifikie hapo ilipo vinginevyo hakingeweza kufika hapo na kwa ushauri tu subirini uchaguzi ujao mtaona mchango wa dr,
sisi binadamu tuna mapungufu,
kama ana maadili aliwezaje kuzini kinyume na kiapo cha utawa,
 
Dr Slaa asingekula matapishi yake! Wanafiki ndio hao waliompokea MTU waliyemtangaza fisadi kwa miaka 8 na ghafla wakamuita Malaika!!

Ni ukweli.ambao wataujutia na ndio maana nawaona wapuuuzi wanapopga makelele kama vuvuzela utadhani edo aliacha uPM kwa sababu ya ccm wakati ni wao ndio walioendesha operation sangara na mwembeyanga wakamtangaza kuwa papa
 
Nani ameonyesha ukomavu wa kisiasa kama Dr. Slaa kwenye siasa za vyama vingi Tanzania ya leo?

Amejitofautisha sana na wanasiasa uchwara wa bongo. Mungu akubariki sana huko uliko na akuzidishie sana tena sana. Wewe peke yako mpaka sasa ndo umedhihiri kuwa ulikuwa mwanasiasa wa kweli uliyekuwa ukisimamia kweli na haki. Hawa uliowaacha wengi wao ni akina pangu pakavu tia mchuzi.

Wengi wao wameendekeza zaidi umimi, tumbo, fitina, majungu na chuki.

Mtaje nani unayemjua wewe aliye zaidi ya Dr. Slaa?
Huyu ni mtanzania wa pekee aliyekuwa akishindia mihogo huku akiuza mkaa...akatoboa kupitia biashara ya mkaa na kununua nyumba Canada.
 
Nani ameonyesha ukomavu wa kisiasa kama Dr. Slaa kwenye siasa za vyama vingi Tanzania ya leo?

Amejitofautisha sana na wanasiasa uchwara wa bongo. Mungu akubariki sana huko uliko na akuzidishie sana tena sana. Wewe peke yako mpaka sasa ndo umedhihiri kuwa ulikuwa mwanasiasa wa kweli uliyekuwa ukisimamia kweli na haki. Hawa uliowaacha wengi wao ni akina pangu pakavu tia mchuzi.

Wengi wao wameendekeza zaidi umimi, tumbo, fitina, majungu na chuki.

Mtaje nani unayemjua wewe aliye zaidi ya Dr. Slaa?
Huu uzi wa mwaka gani... Huyo mla mihogo ya Canada?
 
hawa wajanaja kila mtu alivuna chake, mbowe kwa lowasa, dr. slaa kwa ccm ngoma droo na neno ufisadi likafia hapo sasa hivi hatuna dira tupotupo tu.
 
Chadema wanahubiri mabadiliko kumbe Mbowe anadaiwa mabilioni ya pesa Nhc anakwepa kodi ,

Yani mleta mabadiliko ndio mkwepa kodi mkubwa. Haya ni maajabu kumi ya dunia
 
Namheshimu na kutambua mchango wake kwenye siasa za upinzani Tanzania, kitendo cha kutumika na chama kilichopo madarakani dakika za mwisho na kusaliti upinzani ilinifanya nimshushe thamani sana.

Kwani alimzuia Lowasaa kugombea?.
 
Nani ameonyesha ukomavu wa kisiasa kama Dr. Slaa kwenye siasa za vyama vingi Tanzania ya leo?

Amejitofautisha sana na wanasiasa uchwara wa bongo. Mungu akubariki sana huko uliko na akuzidishie sana tena sana. Wewe peke yako mpaka sasa ndo umedhihiri kuwa ulikuwa mwanasiasa wa kweli uliyekuwa ukisimamia kweli na haki. Hawa uliowaacha wengi wao ni akina pangu pakavu tia mchuzi.

Wengi wao wameendekeza zaidi umimi, tumbo, fitina, majungu na chuki.

Mtaje nani unayemjua wewe aliye zaidi ya Dr. Slaa?
Baby wa Josephine kakutekenya na kinyonga ni nini?
Maana sioni hata cha maana ulichoandika hapa
 
Tofauti kati ya propesa lipumb na slaa ni kuwa slaa alipewa hela nyingi na akakataa kipengele za kujidhalilisha mpaka udharauliwe lakini yule propesa hakuangalia vizuri kile kipengele cha kujiabisha ndiyo maana inamgharimu
Hahaha! Hii kali Mkuu
 
Nani ameonyesha ukomavu wa kisiasa kama Dr. Slaa kwenye siasa za vyama vingi Tanzania ya leo?

Amejitofautisha sana na wanasiasa uchwara wa bongo. Mungu akubariki sana huko uliko na akuzidishie sana tena sana. Wewe peke yako mpaka sasa ndo umedhihiri kuwa ulikuwa mwanasiasa wa kweli uliyekuwa ukisimamia kweli na haki. Hawa uliowaacha wengi wao ni akina pangu pakavu tia mchuzi.

Wengi wao wameendekeza zaidi umimi, tumbo, fitina, majungu na chuki.

Mtaje nani unayemjua wewe aliye zaidi ya Dr. Slaa?
Huo ukomavu unaupimaje?
 
Back
Top Bottom