Hongera Dr. Slaa kwa kuonesha ukomavu kwenye siasa

Sheria inafanya kazi kama umesema kitu cha uwongo lkn cha ukweli ! Utashinda tu nakudai fidia wakutajilishe
Binti unaweza kuthibitisha kuwa Dr Slaa alipewa pesa na CCM? Tutakutafuta uthibitishe na ukishindwa utapanda Kisutu. Acha mzaha binti kwenye mambo nyeti kama haya!!
 
Binti unaweza kuthibitisha kuwa Dr Slaa alipewa pesa na CCM? Tutakutafuta uthibitishe na ukishindwa utapanda Kisutu. Acha mzaha binti kwenye mambo nyeti kama haya!!
Sawa nakusubili kwa hamu sana
 
Jiulize amaepata wapi pesa ya kununua nyumba canada?

Huko canada anaendesha maisha kwa kipato kipi?

watanzania mko wepesi sana kufikiria

Kilichotokea mwaka jana ni Kuwa;

Mbowe ametusaliti kwa sababu alikiuka misimamo yake ya siku zote

Slaa alitusaliti kwa sababu alikubali kufika bei kwa CCM na amepewa pesa ndefuuu na sasa anaishi canada

MBOWE NA SLAA WOTE NI WASALITI WA NDOTO ZA WATANZANIA

Walioumia mwaka jana ni watu kama mnyika,mdee na nasari ambao walikuwa very honest...kumbe viongozi wao kina slaa na mbowe ni wasaliti kila mtu kwa wakati wake
Ndugu yangu, nakuomba unielimishe, Dr. Slaa alitakiwa kufanya nini katika mazigira uliyoyaona? Akae kimya?, Amuunge mkono Mheshimiwa Lowassa? Sioni jambo ambalo agelilifanya Dr. Slaa. Kama angeunga mkono mgombea wa CHADEMA ambaye hakuwa na imani naye angekuwa amewasaliti watanzania kwa ujumla wetu, maana angefanya jambo kinyume na imani yake na huo ndio unafiki katika ujumla wake. Ninakusikiliza na nipo tayari kutafakari maoni yako; angefanyaje?
 
Slaa alipaswa tu kujiuzulu na kukaa pembeni

Kitendo cha kwenda kujisajili kwenye payroll ya CCM na wakamlipia gharama zote za maisha tangu ile Press na Media...nyumba YA canada na kulipia bill zote za kila siku ni usaliti mkubwa usio kifani

Yeye na Mbowe wote wanaingia kwenye kundi moja tu
 
Kwa maana hiyo naanza kuona sababu ya usaliti unaousema. Sina uhakika kama unao ushahidi lakini hata kama hauna, ni hicho ndicho unachokiamini nadhani una hoja. Ni kuombe kama unatafuta wafuasi wa kumuona Dr. Slaa ni msaliti kwa analipwa na CCM kuishi Canada, tunaomba ushahidi. Na hakika hoja yako itaheshimiwa na tuliowengi.
 
Ni kuombe kama unatafuta wafuasi wa kumuona Dr. Slaa ni msaliti kwa analipwa na CCM kuishi Canada

Ndugu hivi unadhani kuna mtu wa kutafuta wafuasi hapa ...ili iweje?

Dunia nzima inajua na Tanzania inajua

Sihitaji kutoa huo unaouita ushahidi kwa sababu circumstancial evidence tu inatosha kujustify hilo

Mtu ambaye siku zote alikuwa anajifanya mpinzani na kuiponda serikali hasa idara zake za usalama...then ghafla bin vuu anageuka na kuanza kulindwa na hizo idara...bado unataka ushahidi ani zaidi?

Dk Slaa: Ninalindwa na Usalama wa Taifa

Hajawahi kusema hizo pesa za kufanya press na tv zote na redio zote za tanzania alipata wapi

Hajawahi kusema pesa za nyumba canada amepata wapi

Hajawahi kusema bill zake za kila siku canada analipiwa na nani?

Tunakijua kipato chake...kwa sababu ni chadema ndio tulikuwa tunamlipa....tunajua kila mwezi installment alizokuwa anakatwa kulipia deni la nyumba yake hapo dar
 
Hoja yako inahitaji mjadala mpana na huru kuhusu usaliti wa Dr. Slaa. Najiuliza swali moja dogo; ukiwa unafukuzwa na majambazi, ukajua kuwa nia yao ni kukuuwa na nyumba iliyokaribu ni ya adui wako utaweza kujificha katika nyumba hiyo au utaacha uuawe? Kwa mtu mwenye hadhi ya Dr. Slaa kupewa hifadhi bado silioni kama ni jambo la ajabu.
 
Hoja yako inahitaji mjadala mpana na huru kuhusu usaliti wa Dr. Slaa. Najiuliza swali moja dogo; ukiwa unafukuzwa na majambazi, ukajua kuwa nia yao ni kukuuwa na nyumba iliyokaribu ni ya adui wako utaweza kujificha katika nyumba hiyo au utaacha uuawe? Kwa mtu mwenye hadhi ya Dr. Slaa kupewa hifadhi bado silioni kama ni jambo la ajabu

hapo tunaenda pamoja sasa.....

Kwa nini hao majambazi wasikamatwe kwa sababu wana nia ya kuua mtu? unaongelea mambo kirahisi sana bro...tuko kwenye mbio za siasa hizi miaka...so ..tunajua tusemacho

Kama wewe huoni ajabu mtu anayejidhani kuwa eti mpinzani kupewa hifadhi na chama tawala basi wewe tuko kwenye sayari tofauti

Na kwa muktadha huo mjadala wowote na wewe hautakuwa na manufaa
 
Ulikuwepo nyumbani kwa Dr Slaa au wewe ni Mlinzi wa Dr Slaa? Acha Stori za kwenye kijiwe cha Kahawa ndugu yangu!!
Ukiwa na information chache juu ya jambo Fulani ni vizuri uwe unakaa kimya badala ya kua mbishi wa kila jambo; mara baada ya askofu/mchungaji Gwajima kueleza alicho kieleza (sina hakika kama pia ulimsikiliza) Dr. Slaa alifanyiwa interview na Start TV na aliulizwa swali linalo fanana na hiki unacho kibishia, jibu lake lilikua hivi, "Nilitegemea tunapo mweleza mtumishi wa Mungu mambo yetu asitoa mambo haya ya kiroho hadharani" Kwa ufupi hakujibu swali bali alimlaumu Gwajima kwa kutoa siri za mambo yao na mkewe hadharani. UPO? Huhitaji kua mlinzi wa mtu maarufu ili ujue kinachoendelea kwake. Hilo moja, mtu wa kwanza kueleza habari ya Dr. kulala ndani ya gari siku ile Lowassa alipo ripoti ofisi za Chadema alikua Dr. Tundu A. Lisu, Dr. hajawahi kukanusha hata siku 1; so unataka hadi uende chumbani kwake ndio uujue ukweli? Tumia tu kichwa chako kufikiri.
Binafsi naendelea kumuheshimu sana Dr. Slaa katika siasa za vyama vingi but nitaendelea kuwaangalia wanawake kwa jicho la tahadhari sana, wengi wao wameisha badiri misimamo ya waume zao sana tu. The Adam and Eve is story still existing.
 
Nani ameonyesha ukomavu wa kisiasa kama Dr. Slaa kwenye siasa za vyama vingi Tanzania ya leo?

Amejitofautisha sana na wanasiasa uchwara wa bongo. Mungu akubariki sana huko uliko na akuzidishie sana tena sana. Wewe peke yako mpaka sasa ndo umedhihiri kuwa ulikuwa mwanasiasa wa kweli uliyekuwa ukisimamia kweli na haki. Hawa uliowaacha wengi wao ni akina pangu pakavu tia mchuzi.

Wengi wao wameendekeza zaidi umimi, tumbo, fitina, majungu na chuki.

Mtaje nani unayemjua wewe aliye zaidi ya Dr. Slaa?
AMEFANYAJE KWANI?
 
hapo tunaenda pamoja sasa.....

Kwa nini hao majambazi wasikamatwe kwa sababu wana nia ya kuua mtu? unaongelea mambo kirahisi sana bro...tuko kwenye mbio za siasa hizi miaka...so ..tunajua tusemacho

Kama wewe huoni ajabu mtu anayejidhani kuwa eti mpinzani kupewa hifadhi na chama tawala basi wewe tuko kwenye sayari tofauti

Na kwa muktadha huo mjadala wowote na wewe hautakuwa na manufaa
Mimi naongelea upepo wa kisiasa ulivyokuwa katika kipindi cha uchaguzi, mambo mengi yalijitokeza na usalama wa wanasiasa wengi ulikuwa na mashaka. Kila kitisho kiliweza kutolewa kwa yeyote isipokuwa CCM. Na wala sipingani na wewe kuhusu njama chafu ambazo ziliweza kutumiwa na CCM. Katika kipindi cha uchaguzi na hasa baada ya mfarakano wa Dr. Slaa na Viongozi wa ngazi za juu wa chama cha demokrasia na maendeleo nina uhakika, baadhi ya wanachama wa CDM na wafuasi wa mgombea wetu walikuwa hatari zaidi kwa Dr. Slaa kuliko wanachama wa CCM. Kwa kukuwa ni wajibu wa kila mmoja wetu kujiweka mahala salama kwanza, sioni kama Dr. alikuwa na chaguo zaidi ya hilo.

Ni kubaliane na wewe, huu mjadala unaweza usiwe na tija kwa CDM na wala kwa taifa, tuufunge.
 
Slaa alipaswa tu kujiuzulu na kukaa pembeni

Kitendo cha kwenda kujisajili kwenye payroll ya CCM na wakamlipia gharama zote za maisha tangu ile Press na Media...nyumba YA canada na kulipia bill zote za kila siku ni usaliti mkubwa usio kifani

Yeye na Mbowe wote wanaingia kwenye kundi moja tu
Wewe subiri kukamatwa utoe ushahidi wa madai yako ya kuokoteza vijiweni!
 
Back
Top Bottom