Hongera Dr. Mwakyembe, hongera TRC

we kibe jana ulitoa pongezi, leo tena unaanzisha uzi wa pongezi kwa hili hili, labda kesho utasema hongera serikali ya ccm kwa kwa kunitoza nauli ndogo.

Hata hivyo serikali makini ingekwishafanya hili muda mrefu sana uliopita na naamini hili ni jukumu la serikali yoyote iliyoko madarakani.
 
May I know the rate of return on capital employed (ROCE) of that project? Simple Henge Preta Maundumula I want to invest in chagga land because they normally leave in village and come Moshi town in the morning and back in the evening

Ndachuwa: Makyembe Mungu amlinde na ambariki kwa huo moyo wake wa ajabu usioyumba. Pamoja na mateso yote bado ameweza kufanya jambo hili katika muda mfupi tu. Nasema ni mfupi ukiangalia umri wa uhuru wetu wa zaidi ya miaka 50!!! Well done.

As regards to rate of capital employed, (ROCE) serikali inatakiwa kutoa huduma ambazo kwa sekta binafsi ni impossible to run at a profit and this is one of such areas. Socio-economic support by government is important for other economic sectors development endeavors to progress directly or indirectly. This is boosts the economy which is beneficial to a government with good revenue collection system in place.
 
Nilifikiri unakuja kutueleza experience yako na usafiri huu kutoka city centre hadi Ubungo.

Kumbe nia yako pongezi tu? kaazi kweli kweli
 
Kiungwana na kibinadamu mtu akifanya Jambo jema anastahili kuambiwa hongera na Asante si Kama baadhi yetu hususan wafuasi wa Dr. Bunduki wao hawaoni jema Kila kitu kibaya. Tubadirike.
 
Mods, this is ABSURD..seriously,..jana mtu huyu huyu, mada ile ile, content ya KIPUUZI vile vile, what is this?
Huku ni kujaza thread humu JF kusikokuwa na maana!
Pls, fanyieni kazi mambo haya!
 
Kiungwana na kibinadamu mtu akifanya Jambo jema anastahili kuambiwa hongera na Asante si Kama baadhi yetu hususan wafuasi wa Dr. Bunduki wao hawaoni jema Kila kitu kibaya. Tubadirike.....

kweli kabisa.
 
Hii treni imekuwa mtaji kwa CCM eeeh! ndio maana nilisema alichofanya Mwakyembe ni wajibu wake kama waziri! ni majukumu yake kama waziri wa uchukuzi!
 
Mwakyembe ni wa kupongeza! Tunahitaji watendaji si wapika porojo. Cha kufanya sasa ni kuziba mianya ya rushwa na wizi. Mkata tiketi asiwe ndiye mwendeshaji wa treni. Wawe watu wawili tofauti na wasiohusiana kabisa. This can be done through e-ticketing ambazo mtu anaweza kununua instantly au kwa mwezi. Hii itakuwa nzuri sana kwa budgeting ya wafanyakazi na wazazi wenye wanafunzi. Kwa kufanya hivi na kama usafiri huu utakuwa efficient, basi serikali inaweza kuangalia uwezekano wa ku-extend usafiri huu kwa mwelekeo wa mbagala, Tegeta (if possible), Kibamba,etc. Itasaidia pia kufungua miji mipya ya kisasa maeneo ya Bagamoyo, Mkuranga, Kibaha Kwa Mathias, etc. Kwa njia hii efficiency na productivity itaongezeka bila shaka.
 
Kaza buti jk malizia ahadi zako...

Those are Mwakyembe's personal initiatives and should not be taken as a party success. Dr. Mwakyembe has proven can stand alone, just remind yourself on a number of calamities faced him in those past day. He was strong as he is now. Keep it up man and serve your nation and not a party.
 
Kiungwana na kibinadamu mtu akifanya Jambo jema anastahili kuambiwa hongera na Asante si Kama baadhi yetu hususan wafuasi wa dr. Bunduki wao hawaoni jema Kila kitu kibaya. Tubadirike.
Kupongeza mtu anaetimiza majukumu yake ni kujikomba, halafu hapo kwenye red ni tubadilike 'l'
 
hiyo ni akili ya mwakyembe na ushupavu wake, wana CCM wamgapi wamekuwa kwenye hiyo wizara na nasikia wazo la city train ni la 1995? .......ishitoshe wenye CCM tunajua hawamtaki!
 
CDM roho zinawauma utasema wao hawapandi hizo treni. Endeleeni kupaka matope wakati wenzenu wanafanya kweli.
 
hawa ndio mawaziri ambao wanaweza kunishawishi niangalie CCM kwa jicho lingine.......tatizo ni wachache sana......kama wote wangekuwa hivyo......tusingekuwa na malumbano......binafsi namuona Mwakyembe na Magufuli.......sijui wenzangu.......

Dada Preta Yupo Prof Muhongo, nae ni jembe la ukwe
 
Dar es salaam oyeee....nakumbuka mkutano wa ccm jangwani...salam ya mwakyembe
 


Mkuu, muwe mnasoma kabla ya kuanza KUULIZA jambo ambalo limejadiliwa. Kuna picha na Video hapo ya Youtube. Kama unatumia Mchina kusoma JF, basi nakupa pole na kusema SI KOSA LAKO.
Watanzania tuwe tunasoma. Kama hukusoma na hukuelewa, basi uliza.

Ukiangalia hiyo PICHA, ni Bus lililopo juu ya RELI. Sasa hizo Train zako za Mwakyembe zinatembelea wapi? Juu ya maji au angani? Au kwenye barabara tu? Au ukisikia TRAM unafikiri ni UMEME tu? Liangalie vizuri tena hilo BUS hapo juu, utaona kuwa hakuna waya wa UMEME hata mmoja. Litakuwa linatumia MAFUTA au GAS. Pia, Bus ni bei rahisi kuliko Train.
 
Last edited by a moderator:
Anastaili pongezi kama wewe ni mzalendo una uwakika ipo siku mifupa yako itamkumbuka Dr Mwakyembe
 
Kaza buti jk malizia ahadi zako...

Kinacho wauma humu ndani mamluki na wanazi wa cdm, ni kuona utekelezaji wa ahadi za jk, ndio maana wanachangia mpaka povu linawatoka. Ukichukulia uanzishaji wa hii treni + Uanzishaji wa boti ya Bagamoyo - Tegeta - Posta mpya + mabasi yaendayo kasi, hapo foleni itakuwa historia. Hongera JK Mungu akubariki sana

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…