Mwakyembe alipoomba miezi sita ili treni iwe inafanyakazi, Clouds walimtukana sana, hasa Gerald Hando na PJ, leo eti wanamsifia.
Clouds acheni uzandiki na unafiki, NINAWACHUKIA...
Sitampongeza mwakyembe wala Serikali kwa sababu walichokifanya wamesukumwa kwa zaidi ya miaka 20. Wamechelewa kufanya. Pili siwapongezi kwa sababu wamefanya kitu ambacho kila mmoja anaweza kukifanya. Wamekopa na kutekelezea kazi hiyo. Zaidi wameongeza deni la Taifa kwa manufaa ya kisiasa.
Naomba nitumie nafasi hii kumpongeza Dr. Harison Mwakyembe pamoja na washika dau wenzake kwa jitihada kubwa walizozifanya hadi ahadi yake ya kutuletea usafiri wa tren hapa jijini kukamilika tangu uhuru wa nchi hii upatikane.
SHIME MWAKYEMBE.
:israel:
Nauli pesa ngapi?
Shilingi 400/= kwa mtu mzima
Shilingi 100/= kwa wakusoma
Na safari ni asubuhi kwenda city center na jioni kurudi ....
Unajua saa ngapi na saa ngapi?
Big up Mwakyembe for showing your guns, now keep them firing!!
We need people who walk their talk like Jembe Mwakyembe! Big up Brother umejiwekea Kahistoria kako ndugu! Kumbe Mungu alikunusulu na kile kisumu ili uje uonyeshe njia! Salute.
na huyo alikwenda kuiba breki za treni dini gani vile? mnijuze tafadhaliAloson hawezi kuwa mchoma makanisa huyu! Atakuwa mchukia shetani na matendo yake yote! Hii ndiyo dini ya kwetu.
it it totally true bana... tunawataka watu kama hawa katika nchi kama hii....
I have to salute the man, He said by October Dar City Trains will start, and now we can see they are moving. Its a very good platform for this poor nation in terms of accountability as he has also clearly explained the costs, and we can vividly see the changes!
When The Rapid Bus starts also, and managed properly, it will ease massively the current socio-economic burden caused by the outdated, poorly managed transportation system in Dar City.
Furthermore, this improved transportation will bring about rapid expansion of Dar City, as it will be ease to move from ilala to kinondoni to temeke, for normal workers, students, traders etc.
We do not need politics in this!
We need common sense and proper management systems.
CCTV cameras should be installed in all the train stations and inside the train.
We will catch more vibaka,magendo, wasiolipa tiketi, n.k
Big up Mwakyembe for showing your guns, now keep them firing!!
And have enough ammunition as well......plus aiming rightly