Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Jul 7, 2013 #41 TANMO said: Hao waume zake waliopita alizaa nao watoto? Click to expand... wa kwanza nadhani ana mtoto nae wa pili hana labda ndo maana kampiga chini akavuta kitu kipya
TANMO said: Hao waume zake waliopita alizaa nao watoto? Click to expand... wa kwanza nadhani ana mtoto nae wa pili hana labda ndo maana kampiga chini akavuta kitu kipya
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,291 Jul 7, 2013 #42 Huyu jamaa nia yake ni papuchi ili nae aweke rekodi. Huenda aliambiwa sikupi mpaka baada ya ndoa, vibginevo sijaona muoaji apo.
Huyu jamaa nia yake ni papuchi ili nae aweke rekodi. Huenda aliambiwa sikupi mpaka baada ya ndoa, vibginevo sijaona muoaji apo.
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,046 Reaction score 12,542 Jul 7, 2013 #43 Smile said: wa kwanza nadhani ana mtoto nae wa pili hana labda ndo maana kampiga chini akavuta kitu kipya Click to expand... Ngoja na mimi nipange foleni, huenda ana Mgodi wa dhahabu huko Dauni....
Smile said: wa kwanza nadhani ana mtoto nae wa pili hana labda ndo maana kampiga chini akavuta kitu kipya Click to expand... Ngoja na mimi nipange foleni, huenda ana Mgodi wa dhahabu huko Dauni....
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Jul 7, 2013 #44 KakaJambazi said: Huyu jamaa nia yake ni papuchi ili nae aweke rekodi. Huenda aliambiwa sikupi mpaka baada ya ndoa, vibginevo sijaona muoaji apo. Click to expand... aisee na sisi tuoane tukishindwana tunaachana kwani shida nini?
KakaJambazi said: Huyu jamaa nia yake ni papuchi ili nae aweke rekodi. Huenda aliambiwa sikupi mpaka baada ya ndoa, vibginevo sijaona muoaji apo. Click to expand... aisee na sisi tuoane tukishindwana tunaachana kwani shida nini?
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Jul 7, 2013 #45 TANMO said: Ngoja na mimi nipange foleni, huenda ana Mgodi wa dhahabu huko Dauni.... Click to expand... anza process za kumchumbia
TANMO said: Ngoja na mimi nipange foleni, huenda ana Mgodi wa dhahabu huko Dauni.... Click to expand... anza process za kumchumbia
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,046 Reaction score 12,542 Jul 7, 2013 #46 Smile said: anza process za kumchumbia Click to expand... Ngoja nianze kujiandaa wangu, ukiona tu ameachika nishtue kabla wengine hawajaniwahi...... Oi ma dwa!
Smile said: anza process za kumchumbia Click to expand... Ngoja nianze kujiandaa wangu, ukiona tu ameachika nishtue kabla wengine hawajaniwahi...... Oi ma dwa!
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Jul 7, 2013 #47 TANMO said: Ngoja nianze kujiandaa wangu, ukiona tu ameachika nishtue kabla wengine hawajaniwahi...... Oi ma dwa! Click to expand... ahahaaa ode lakana fo...ifo lileshinda mafisi ewe kulyiidimaa?
TANMO said: Ngoja nianze kujiandaa wangu, ukiona tu ameachika nishtue kabla wengine hawajaniwahi...... Oi ma dwa! Click to expand... ahahaaa ode lakana fo...ifo lileshinda mafisi ewe kulyiidimaa?
S salasala JF-Expert Member Joined Oct 17, 2010 Posts 223 Reaction score 54 Jul 7, 2013 #48 Mchwechwele said: Weupe unamsaidia angekuwa black huyo balaa. Click to expand... Usoni anaonekana kama anajichubua. Mi huyo hata nikipewa bure sichukui.
Mchwechwele said: Weupe unamsaidia angekuwa black huyo balaa. Click to expand... Usoni anaonekana kama anajichubua. Mi huyo hata nikipewa bure sichukui.
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jul 7, 2013 #49 Smile said: unamuaminia nini na yeye akileta za kuleta anatupwa kule watu wanavuta kitu kipya! Click to expand... Wala sio heshima mtoto wa kike kuolewa kila kukicha., huyo dida lazima atakuwa na matatizo tena makubwa sana.... Ndoa tatu ??? Khaaaa aibu sana!
Smile said: unamuaminia nini na yeye akileta za kuleta anatupwa kule watu wanavuta kitu kipya! Click to expand... Wala sio heshima mtoto wa kike kuolewa kila kukicha., huyo dida lazima atakuwa na matatizo tena makubwa sana.... Ndoa tatu ??? Khaaaa aibu sana!
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,959 Jul 7, 2013 #50 Anachofanya ni kubadili wanaume tu
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,046 Reaction score 12,542 Jul 7, 2013 #51 Taja said: Wala sio heshima mtoto wa kike kuolewa kila kukicha., huyo dida lazima atakuwa na matatizo tena makubwa sana.... Ndoa tatu ??? Khaaaa aibu sana! Click to expand... Au anaweza kuwa dili... Kwa nini kila akiachika basi anapata mtu wa kumuoa fasta?
Taja said: Wala sio heshima mtoto wa kike kuolewa kila kukicha., huyo dida lazima atakuwa na matatizo tena makubwa sana.... Ndoa tatu ??? Khaaaa aibu sana! Click to expand... Au anaweza kuwa dili... Kwa nini kila akiachika basi anapata mtu wa kumuoa fasta?
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Jul 7, 2013 #52 khadija binti mchopanga kaolewa na mtangazaji mwenzie ni vizuri wataelewana..
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,046 Reaction score 12,542 Jul 7, 2013 #53 Smile said: ahahaaa ode lakana fo...ifo lileshinda mafisi ewe kulyiidimaa? Click to expand... Bahati nyen akashiwegha... lol
Smile said: ahahaaa ode lakana fo...ifo lileshinda mafisi ewe kulyiidimaa? Click to expand... Bahati nyen akashiwegha... lol
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Jul 7, 2013 #54 Taja said: Wala sio heshima mtoto wa kike kuolewa kila kukicha., huyo dida lazima atakuwa na matatizo tena makubwa sana.... Ndoa tatu ??? Khaaaa aibu sana! Click to expand... aibu gani? maisha yenyewe mafupi
Taja said: Wala sio heshima mtoto wa kike kuolewa kila kukicha., huyo dida lazima atakuwa na matatizo tena makubwa sana.... Ndoa tatu ??? Khaaaa aibu sana! Click to expand... aibu gani? maisha yenyewe mafupi
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Jul 7, 2013 #55 TANMO said: Bahati nyen akashiwegha... lol Click to expand... ahahaaa labda!ankuruuya den
K King Kimwe Senior Member Joined Jan 26, 2013 Posts 130 Reaction score 30 Jul 7, 2013 #56 Duu dem mwnyw yup bomba acha mgumu achachawe sio vzr kumwita nshakupe jamani kazi yake yaweza kua tofaut kabisa na uhalisia wa maisha yake
Duu dem mwnyw yup bomba acha mgumu achachawe sio vzr kumwita nshakupe jamani kazi yake yaweza kua tofaut kabisa na uhalisia wa maisha yake
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jul 7, 2013 #57 TANMO said: Au anaweza kuwa dili... Kwa nini kila akiachika basi anapata mtu wa kumuoa fasta? Click to expand... Hakuna cha dili hapo ndugu, hao ma bwana harusi wenyewe si unawaona? Wanaendana nae! Mwenye akili timamu haoi huyo, usishangae mfungo ukiisha ukasikia kaachika tena lol
TANMO said: Au anaweza kuwa dili... Kwa nini kila akiachika basi anapata mtu wa kumuoa fasta? Click to expand... Hakuna cha dili hapo ndugu, hao ma bwana harusi wenyewe si unawaona? Wanaendana nae! Mwenye akili timamu haoi huyo, usishangae mfungo ukiisha ukasikia kaachika tena lol
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jul 7, 2013 #58 Smile said: aibu gani? maisha yenyewe mafupi Click to expand... Maisha kuwa mafupi hakumfanyi binadamu kupoteza busara yake ! Mwenzetu ushafunga ngapi mpaka sasa?
Smile said: aibu gani? maisha yenyewe mafupi Click to expand... Maisha kuwa mafupi hakumfanyi binadamu kupoteza busara yake ! Mwenzetu ushafunga ngapi mpaka sasa?
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Jul 7, 2013 #59 Taja said: Maisha kuwa mafupi hakumfanyi binadamu kupoteza busara yake ! Mwenzetu ushafunga ngapi mpaka sasa? Click to expand... sina HATA BOYFRIEND ILA NAMPA BIG UPU SANA...HATA HUYU AKIZINGUA APIGWE CHINI KIVUTWE KITU KIPYA
Taja said: Maisha kuwa mafupi hakumfanyi binadamu kupoteza busara yake ! Mwenzetu ushafunga ngapi mpaka sasa? Click to expand... sina HATA BOYFRIEND ILA NAMPA BIG UPU SANA...HATA HUYU AKIZINGUA APIGWE CHINI KIVUTWE KITU KIPYA
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jul 7, 2013 #60 Smile said: sina HATA BOYFRIEND ILA NAMPA BIG UPU SANA...HATA HUYU AKIZINGUA APIGWE CHINI KIVUTWE KITU KIPYA Click to expand... Mh.... Kazi kweli kweli
Smile said: sina HATA BOYFRIEND ILA NAMPA BIG UPU SANA...HATA HUYU AKIZINGUA APIGWE CHINI KIVUTWE KITU KIPYA Click to expand... Mh.... Kazi kweli kweli