Hongera continental

Hongera continental

Naona startimes wamebugi, channel zinaonekana free kwao hadi kwenye vingamuzi vya continental unapata channel za startimes
Continental wamenikosha roho Yangu
Continental wako juu kwa sasa
 
Unachotakiwa kufanya
Badilisha kwanza uelekeo Kama bado hujabadilisha ubadilishe dish lako lielekee mashariki

2, Ingiza freequnce 11665
Symbole rate 45000
Polarization v

Baada ya hapo utaona channel 46
Ingiza tena
Freequence zingine kwa satellite
Yoyote ile iwe Amos au asiasat
Ingiza freequence hizi hapa 11596
Symbole rate 30000
Polarization v

Baada tu ya muda wa sekunde 30
Utapata channel 102 bila wasiwasi
Channel 56 hizo zote no Bure
Channel zile za awali 46 ni zakulipia

Nadhani utakuwa umeelewa mkuu!
Nimekuelewa mkuu ila naogopa kuvurunda ahsante mkuu
 
Unachotakiwa kufanya
Badilisha kwanza uelekeo Kama bado hujabadilisha ubadilishe dish lako lielekee mashariki

2, Ingiza freequnce 11665
Symbole rate 45000
Polarization v

Baada ya hapo utaona channel 46
Ingiza tena
Freequence zingine kwa satellite
Yoyote ile iwe Amos au asiasat
Ingiza freequence hizi hapa 11596
Symbole rate 30000
Polarization v

Baada tu ya muda wa sekunde 30
Utapata channel 102 bila wasiwasi
Channel 56 hizo zote no Bure
Channel zile za awali 46 ni zakulipia

Nadhani utakuwa umeelewa mkuu!
Kumbe unasemea TING hapo basi ni angle moja 11596 H 30000 ni TP ya TING
 
Karibuni na huku pia.
Tunakula chatu kwa mrija.
ee53ee2ca8c308215700fc9366191c62.jpg
Mkuu wapata channels ngapi..na zipi.!?
 
Na zile za kipuuzi za star ,,,star,,,,star,,,,star...... Bado zipo?

Channel nyingi hadi zimewashinda kuzimanage, wanarudiarudia vipindi kwa wiki kipindi kimoja kinajirudia mara 10

nkajua inanikera peke yangu kumbe inakera wengi!! star zipo kibao yani hata JF ingekua chini ya continental basi wangeanzisha na Star Jamii
 
Wewe mleta post unashangilia usichokijua tena kwa lugha nyingine sitasita kukuita wewe ni tapeli tena mkubwa wa kutupwa nyie ndio huwa mafundi uchwara mnaowaingiza mkenge wateja wasiofamu.Kimsingi Continental haina hizo chaneli zote ulizozitaja hizo ulizozitaja ni chaneli za kampuni ya Ting ndo ziko fta kwa sasa kwasababu Ting iko ABS 75deg pia Continental iko kwenye sat hiyohiyo.
 
nkajua inanikera peke yangu kumbe inakera wengi!! star zipo kibao yani hata JF ingekua chini ya continental basi wangeanzisha na Star Jamii
ndugu yangu . hicho ndicho kilichonifanya nikiweke pembeni hicho kingamuzi chao. hata sijaenda kukisajili labda wabadilike.
kero hiyo ilianzia pale tu walipoachana na satellite ya AMOS.

wakaondoa channel zote za msingi ikiwemo citizen hata cctv9 documentary.
na badala yake wakaanza kuzaa na star.

star documentary
star newsline
star kids
star drama
.
.
.
.
.
.

kweli ilinichosha, maanake huyo star kama ni mwanamke anayezaa bila mpangilio.
 
msaada wanajamvi smartphone yangu ya samsung nikiwasha inaanza proccess zote za kuwaka ikifika kwenye hatua ambayo screen inaonyesha neno sangsung basi ina baki hivyohivyo aizimi wala kuendelea ila inabaki hivyo hivyo ikiandika neno samsung itakuwa inashida gani jamani simu yenyewa hata mwaka akajamaliza.
 
itumbukize kwenye maji iache kwa siku 2 ukiitoa itakua isharecover
 
msaada wanajamvi smartphone yangu ya samsung nikiwasha inaanza proccess zote za kuwaka ikifika kwenye hatua ambayo screen inaonyesha neno sangsung basi ina baki hivyohivyo aizimi wala kuendelea ila inabaki hivyo hivyo ikiandika neno samsung itakuwa inashida gani jamani simu yenyewa hata mwaka akajamaliza.
Samsung aina gani?
 
Back
Top Bottom