issa mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 1,477
- 1,139
Hongera clouds kwa kuendesha shughuli ya kumchangia gharama za matibabu ya Jetman....
Sory mkuu sijaelewa nani mgonjwaHongera clouds kwa kuendesha shughuli ya kumchangia gharama za matibabu ya Jetman....
Ruge hiz uziache usizpunguze please
bhas
Angalau huyo mgojwa akasaidiwe
Jetman ndo mgonjwa ni mwanamuzik wa reggaeSory mkuu sijaelewa nani mgonjwa