Huwezi kuanzisha taasisi ya kitapeli uachwe na wakati kuna RC/RAS/RPC/RSO/DC/DAS/OCD/DSO/DED/Mbunge/Mwenyekiti wa council ubaki salama kama hakuna mikono ya wakubwa
A.k.a Mikopo kausha DamuWalimu ni wahanga sana wa mikopo hii.
Hatuna hao viongoziWameipa Jina la Mikopo chupi mkononi, meaning nguo zinawavuka kina mama wakitafuta marejesho, mpaka kijijini kwangu ipo. Tujitafakari
Huku wengine hata leseni hawana.wanawafuata watu maofisini balaa sana
Hapo inatakiwa tuzidishe maombi tu hao jamaa hawana nia njema katika kuwakwamua watumishi katika mikopo umiza ambayo kwa kiasi kikubwa imedhoofisha hata uwajibikaji makazini kwa msongo uliowapata hao watumishi wa kada ya chiniHaya yote yanawezekana lakini sio kwa serikali hizi za CCM ambazo zinakosa kabisa ubunifu kusaidia watumishi
Usisahau pia aina hizi za mikopo:Wameipa Jina la Mikopo chupi mkononi, meaning nguo zinawavuka kina mama wakitafuta marejesho, mpaka kijijini kwangu ipo. Tujitafakari
Labda wanaogopa wataidhoofisha sector binafsi kwani zitakosa wateja .Kama ndio hivyo riba za mabenki hasa nmb ambayo ndie mtoa huduma mkubwa kwa watumishi wa umma wengi mishahara yao inapitia huko lazima iangaliwe upya kwa kupunguza vikorombwezo kibao vya mikopo yao akiwemo mdudu aitwaye processing feeSijui kwanini watawala hawataki kabisa jambo hili. Wanawaza kukusanya kodi na gawio kutoka kwenye mabenki.
BOT wamelala usingizi wa pono.Labda wanaogopa wataidhoofisha sector binafsi kwani zitakosa wateja .Kama ndio hivyo riba za mabenki hasa nmb ambayo ndie mtoa huduma mkubwa kwa watumishi wa umma wengi mishahara yao inapitia huko lazima iangaliwe upya kwa kupunguza vikorombwezo kibao vya mikopo yao akiwemo mdudu aitwaye processing fee
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Sijajua kwa sekta binafsi kama nao wanahusika na huu utaratibu mpya.Ngoja nidownload hiyo watumishi portal.
Ni serikali au Taasisi binafsi ndizo hukopesha?
Kwani wanaovuta bangi si wanavuta kwa starehe zao, sasa jiulize kwanini serikali inawaibgilia?Ujipeleke mwenyewe mikopo umiza harafu uje kulaumu BoT si ndio? 🤣🤣
Nauliza hiyo mikopo inatolewa na benki kuu(serikali) au benki zilezile zilizotunyonya tangu zamani?Sijajua kwa sekta binafsi kama nao wanahusika na huu utaratibu mpya.
Hurudisha faida kwa kusaidia jamii thus viongozi hawana cha kuwafanya..mfano kuchangia chama ama harambeeHuwezi kuanzisha taasisi ya kitapeli uachwe na wakati kuna RC/RAS/RPC/RSO/DC/DAS/OCD/DSO/DED/Mbunge/Mwenyekiti wa council ubaki salama kama hakuna mikono ya wakubwa
No benki zile zile ila sasa utaratibu ndio umebadilika. NMB wameshaanza, sijui mabenki mengine.Nauliza hiyo mikopo inatolewa na benki kuu(serikali) au benki zilezile zilizotunyonya tangu zamani?
Utumishi portal ilisitisha huduma wakisema kuwa kuna maboresho ikapita muda mwingi ikawa kimya.No benki zile zile ila sasa utaratibu ndio umebasilika. NMB wameshaanza sijui mabenki mengine.
Huu komando ukoje?Usisahau pia aina hizi za mikopo:
- Mikopo kausha damu
- Mikopo komando
- Mikopo kichefuchefu
- Mikopo rusha roho
- Mikopo pasua moyo
- Mikopo miyeyusho
Hapo sasal mtihani, ila ukienda NMB watakupa maelezo.Utumishi portal ilisitisha huduma wakisema kuwa kuna maboresho ikapita muda mwingi ikawa kimya.
Nimesearch google na kwenye tovuti ya wizara ya fedha ili nijionee utaratibu siioni.
Hapana huwa wanachangia chama pekeeHurudisha faida kwa kusaidia jamii thus viongozi hawana cha kuwafanya..mfano kuchangia chama ama harambee
Wewe achana na fikra potofu kuhusu walimu wetu wakati wewe mwenyewe hapo ni mkopaji wa hiyo mikopo unayosema. Issue za kukopa ni kila mtumishi na kila mtu mwenye shida zake anakopa. Acha fikra potofu. Usiishi kwa kukariri maisha kaka.Walimu ni wahanga sana wa mikopo hii.