fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,553
- 9,033
Mimi sio azam,mimi ni mwananchi sema nawakubali sana azam kwa uwekezaji wao afrika mashariki na kati hawana mpinzaniMzee fimboyaukwaju mbona tarehe 19 hamkunialika kwenye pilau lenu hapo azamu?
Nikajua wewe ni familia ya Azam.Mimi sio azam,mimi ni mwananchi sema nawakubali sana azam kwa uwekezajinwao afrika mashariki na kati hawana mpinzani
Hapana,ni kwasababu hujasoma post zangu vizuri,mimi ni suriyama wa kizungu kwa baba na na mama mtanzaniaNikajua wewe ni familia ya Azam.
Hivi sasa ndiko wanakoelekea,olympic ni rahisi,shida iko ligi ya uingerezaInfact Azam wako smart sana. Waongeze na epl na olympic pia waoneshe
Kumbe wewe umechanganya damu kama Mimi. π₯Hapana,ni kwasababu hujasoma post zangu vizuri,mimi ni suriyama wa kizungu kwa baba na na mama mtanzania
Ndio brother,mjerumani baba na mnyamwezi ni mamaKumbe wewe umechanganya damu kama Mimi. π₯
Mimi mama muarabu π₯Ndio brother,mjerumani baba na mnyamwezinmama
ok basi sisi ni ndugu maana masuriama wote duniani ni nduguMimi mama muarabu π₯
Sahihi kabisa ndugu yangu. π€ok basi sisi ni ndugu maana masuriama wote duniani ni ndugu
Ilikua kazi ya ITV miaka ileAzam TV mnastahili hongera kwa matangazo yenu,mmemaliza kutangaza kombe la dunia,wakati mkionesha ligi ya basketball,mmeonesha ngumi jiwe,mmeonesha bongo star search,hivi sasa mnaonesha cecafa,ambapo charles onyango,romario abdul jabar na msururu wa ma kamera man na makamera woman from kenya,rwanda wakifanya kazi huko.Hawana mpinzani afrika mashariki na kati kwenye sekta ya tv broadcasting
Mitano tena kwa SSB.Azam TV mnastahili hongera kwa matangazo yenu,mmemaliza kutangaza kombe la dunia,wakati mkionesha ligi ya basketball,mmeonesha ngumi jiwe,mmeonesha bongo star search,hivi sasa mnaonesha cecafa,ambapo charles onyango,romario abdul jabar na msururu wa ma kamera man na makamera woman from kenya,rwanda wakifanya kazi huko.Hawana mpinzani afrika mashariki na kati kwenye sekta ya tv broadcasting